West Ham, Nuno mambo yamenyooka Uongozi wa klabu ya West Ham United umethibitisha kocha Nuno Espirito Santo ataendelea kuinoa timu hiyo kwa lengo la kuirejesha Ligi Kuu ya England msimu ujao.
Enzo Fernandez asisitiza kuondoka Chelsea Kiungo wa Argentina, Enzo Fernandez, anataka kuondoka Chelsea msimu huu wa kiangazi, huku klabu hiyo ikitaka dau la pauni milioni 120 (zaidi ya sh390 bilioni) ili kumwachia.
Mashabiki England wasusia mechi ya kirafiki Marekani Nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane na wachezaji wenzake wanakabiliwa na uwezekano wa kucheza mbele ya uwanja usio na mashabiki wengi nchini Marekani wiki ijayo.
Rekodi ya Cristiano Ronaldo shangwe Colombia Mkongwe Cristiano Ronaldo anajiandaa kuweka historia katika Kombe la Dunia 2026, itakayofanyika Marekani, Mexico na Canada, ambapo atacheza fainali zake za mwisho kwa mara sita, huku akipambana...
Crystal Palace yaweka rekodi Ulaya BAO la Jean-Philippe Mateta lilitosha kuipa Crystal Palace FC taji lao la kwanza kabisa la Ulaya baada ya Eagles kuifunga Rayo Vallecano katika fainali ya Europa Conference Ligi.
Neymar Jr atinga kambini kwa ‘chopa’ Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr, amewasili kambini kwa mtindo wa kipekee kwa kutumia usafiri wa helikopta ‘Chopa’ nchini Marekani, tayari kwa maandalizi ya michuano ya Kombe la...
Hat-trick za Kombe la Dunia KUMEKUWAPO na mastaa wachache waliofunga mabao matatu (hat-trick), katika Kombe la Dunia tangu zilipoanzishwa fainali hizo 1930 nchini Uruguay, ikilinganishwa na umri wa miaka 106 wa mashindano...
Jordan: Wageni wenye kamba mguuni Kombe la Dunia 2026 KWA mara ya kwanza kabisa katika historia yao, timu ya taifa ya Jordan maarufu kama Al Nashama (Mashujaa) itaungana na Uzbekistan nayo kutoka Asia kushiriki Kombe la Dunia 2026 huko Amerika...
Fahamu BMI kikotozi cha kutathimini uzito WAKATI ligi za soka katika nchi mbalimbali duniani zikifikia tamati mwishoni mwa wiki iliyopita, Ligi Kuu Bara iliendelea juzi kwa mechi mbili kabla ya kusimama kupisha kalenda ya Fifa kwa nchi...