Arteta aisukia mkakati maalum PSG KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameanza kazi ya kupanga namna atakavyoingia kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG wiki ujao, ikiwamo kumtumia Leandro Trossard kama...
Barcelona hali si shwari, Flick akuna kichwa LICHA ya kukaribia kushinda taji la La Liga msimu huu baada ya kushinda mabao 4-3 dhidi ya Celta Vigo, Jumamosi iliyopita, Kocha wa Barcelona, Hansi Flick anakabiliwa na hali ya wasiwasi...
Bernardo Silva aingia anga za Barcelona KIUNGO wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 30, ni miongoni mwa mastaa ambao mabosi wa Barcelona wamepanga kuwasajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Chelsea kulazimika kumsajili Sancho CHELSEA watalazimika kulipa Pauni 5 milioni na kumrudisha Jadon Sancho katika timu yake ya Manchester United au kutoa karibu Pauni 25 milioni na kumsainisha mkataba wa kudumu.
Amorim aanza mikakati ya usajili Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim inadaiwa tayari ameshaingia chaka na kuanza kusuka upya kikosi chake na ameanza na safu ya ushambuliaji.
Bayer Leverkusen yakubali kwa Alonso MKURUGENZI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro amethibitisha hatma ya kocha wao Xabi Alonso itaamuliwa katika wiki chache zijazo baada ya mazungumzo zaidi na wangependa kuendelea kuwa naye lakini...
Nyuma ya mafanikio ya Lewis-Skelly kuna Marcia Lewis Septemba 22, 2024, itabaki kwenye historia ya soka, hasa la England, kama moja ya siku za kipekee na kukumbukwa sana.
Carragher: Alexander-Arnold hapaswi kuanza Liverpool LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesisitiza beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold hapaswi kuanza tena katika kikosi cha Liverpool ikiwa hajatoa majibu kama anataka kuondoka au kubaki.
Arteta afunguka hali ya Saka KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewahakikishia mashabiki wa Arsenal kuwa staa wa timu hiyo, Bukayo Saka hakuumia vibaya licha ya faulo mbali aliyofanyiwa na kulazimu atolewe katika mchezo wa...
Maresca: Sijakimbia mashabiki KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesisitiza kuondoka kwake haraka mara tu filimbi ya mwisho ilipopigwa katika mchezo dhidi ya Fulham wikiendi iliyopita, ilikuwa ni kwa sababu ya kuwaachia...