Real Madrid kusukwa upya kwa Sh60.6 bilioni Real Madrid inalazimika kufanya mabadiliko makubwa ndani ya kikosi chake. Inaonekana majira haya ya kiangazi yatakuwa ya hekaheka nyingi kwa klabu hiyo, jambo ambalo si rahisi hasa kutokana na...
Victor Wembanyama alazimisha mechi saba NBA NYOTA wa San Antonio Spurs, Victor Wembanyama, amesema ari ya kupambana kama timu iliyokuwa ukingoni mwa kutolewa ndiyo siri ya ushindi mkubwa walioupata dhidi ya Oklahoma City Thunder na...
Ibrahima Konate akaribia kusepa Liverpool BEKI wa Liverpool, Ibrahima Konate, anatajwa kuwa mbioni kuondoka Anfield dirisha hili la usajili baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya na klabu hiyo.
Hispania; Kizazi kipya, ndoto mpya ubingwa wanautaka KOCHA wa timu ya taifa la Hispania, Luis de la Fuente tayari ametanga kikosi cha wachezaji 26 kitakachoiwakilisha Hispania kwenye Kombe la Dunia 2026 huku nyota chipukizi Lamine Yamal...
Man United ‘kupindua meza’ kwa Ederson Manchester United wako katika mazungumzo ya hatua za mwisho kumsajili kiungo wa Brazil wa Atalanta BC, Ederson, kuwa usajili wao wa kwanza wa majira ya joto.
Wadau kikapu waipongeza Dar City Dar City imetupwa nje katika robo fainali ya Kikapu Afrika (BAL) Play off, baada ya kufungwa jumla ya pointi 165-157 na Petro De Luanda ya Angola katika mechi mbili za robo fainali, huku wadau...
Lamine Yamal aanza mazoezi binafsi Kiungo mshambuliaji Lamine Yamal, ameanza mazoezi binafsi ya uwanjani na gym. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18 amekuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na majeraha yaliyomfanya akose mechi za...
Devota Kihwelo: Nilisajiliwa kwa jezi ya Chelsea Katika tasnia ya habari nchini, jina la Devotha Kihwelo limejijengea heshima kama mwandishi shupavu wa habari za uchunguzi na michezo.
Katikati ya ndoto ya Arsenal wapo PSG KOCHA Mikel Arteta yuko karibu kuandika historia mpya, huku Arsenal wakijiandaa kwa usiku mkubwa zaidi wa maisha yake ya ukocha katika fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Paris Saint-Germain...
Vini Jr amtabiria makubwa Lamine Yamal Vinícius Júnior alizungumza katika mahojiano nchini Brazil kuhusu Lamine Yamal, akimsifu kwa kiwango chake kikubwa cha soka licha ya kuchezea FC Barcelona, wapinzani wakubwa wa milele wa Real...