Refa aitisha Simba Manungu upupu wakazi wa Mtibwa mabao wako jirani na uwanja ,”alisema Maxime. Naye mchezaji wa zamani wa Simba ambaye alimpiga mwamuzi katika mchezo huo, Athuman Machupa alisema; “Nakumbuka tulikuwa...
TAFF kuja na kituo cha soka kwa watu wenye ulemavu SHIRIKISHO la soka kwa watu wenye Ulemavu nchini Tanzania(TAFF) linatarajia kufungua kituo cha kutafuta na kukuza vipaji vya soka kwa watu wenye ulemavu.
Mbeya Kwanza, KMC hakuna mbabe Mbeya. Bao la dakika 90 lililofungwa na Straika Habibu Kyombo limeinusuru Mbeya Kwanza kuambulia pointi moja baada ya sare ya bao 1-1 waliyopata leo dhidi ya KMC. Kabla ya mchezo huo, Mbeya Kwanza...
Simba, Mtibwa goma lipo pale pale Manungu HATIMAYE sintofahamu ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Simba kupigwa Uwanja wa Manungu imetatuliwa na watu wa usalama juu ya mtanange huo. Ilielezwa kwamba jana Bodi ya Ligi Kuu Tanzania...
Azam FC ni Manchester City ya ajabu . Lakini, wakati tunawasifia Man City lipo hili jambo hatupaswi kulisahau. Tangu 2008 hakuna klabu ya England iliyotumia pesa nyingi kufanya usajili kama Man City. Wakati Sheikh Mansour anainunua...
Simba yapewa ramani ya ushindi lengo la kujilinda zaidi. Makocha na wachambuzi hao, walitaja kikosi cha Simba ambacho ni hatari zaidi, huku wakiihofia Mtibwa Sugar kunyeshewa mvua ya mabao mengi. Katika majina yaliyotajwa...
Yanga yavunja rekodi yake -1 Yanga (pointi 3), Yanga 3-0 Coastal Union (pointi 3), Yanga 1-0 Polisi Tanzania (pointi 3), Yanga 1-1 Simba (pointi 1), KMC 1-2 Yanga (pointi 3), Biashara United 0-1 Yanga (pointi 3)...
Ngailo amvutia kocha wake mazoezini alilithibitisha kuwa nyota huyo na kusema alifika salama na tayari ameshaanza mazoezi na wenzake. "Najua kuwa siku za hapa mwanzoni mazingira ya Izimir yatakua changamoto kwake lakini licha...
Polisi, Yanga kukipiga Sheikh Amri Abeid Arusha Arusha. UONGOZI wa timu ya soka ya Polisi Tanzania FC umethibitisha kupeleka mchezo wao dhidi ya Yanga SC katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya uwanja wao wa Ushirika...
Ruvu Shooting, KMC wajifua Sokoine kuzikabili City, Mbeya Kwanza . Ikumbukwe KMC inawakabiri wapinzani hao, ambapo wenyeji wanakumbuka kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Azam bao 1-0, huku vijana hao wa Kinondoni wakishinda dhidi ya Tanzania Prisons mabao...