Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24782 results for tanzania :

  1. Yanga yaitega Azam mbio za ubingwa

    wakati Yanga ikishinda michezo tisa kati ya 14 waliyonayo itafikisha pointi 69 ambapo zitawaondoa kabisa Wana Lambalamba kwenye mbio za ubingwa na kuziacha Simba na Yanga kutunishiana ubavu.

  2. Chama, Morrison habari nyingine

    KIUNGO wa zamani wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Ibrahim amewachungulia uwanjani Clatous Chama na Bernard Morrison wanaokipiga Msimbazi na kukiri jamaa wana madini miguuni mwao na soka lao ni darasa kwa...

  3. Siku 313 za Nabi Yanga, katisha mbaya

    ikishinda mechi 18 na kutoka sare tao. USHINDI MKUBWA Ushindi mkubwa kwa Nabi tangu ajiunge na kikosi hicho cha ‘Wananchi’ katika Ligi Kuu Bara ni wa mabao 4-0, dhidi ya Dodoma Jiji Desemba 31...

  4. Pira la Sure Boy lamdatisha Nabi

    katikati ya uwanja ndio umemshtua kocha Nabi. Akizungumza na Mwanaspoti, Nabi alisema hana shida na ubora wa Saido, lakini ameshtushwa na ubora wa Sure Boy akiwa katikati ya uwanja akikiri kwamba...

  5. Karia: Ishu ya GSM bado ipo mezani

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amekiri shirikisho hilo lipo kwenye mazungumzo na Kampuni ya GSM iliyotangaza kujitoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Bara kwa...

  6. MASAU BWIRE: Sonso alikufa kifo cha ajabu

    TULIANZA kukuletea mahojiano haya kwenye toleo la jana ambapo Masau Bwire alizungumzia mambo kadhaa makubwa lakini akafafanua pia na ishu yake ya kubeba simu tisa zenye magrupu ya WhatsApp zaidi...

  7. Malale akipigwa tu anatimuliwa Polisi

    WAKIPIGWA tu, jamaa wanamtimua. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini baada ya mabosi wake kumtega kwa kumpa mechi moja tu dhidi ya Azam itakayopigwa Jumapili...

  8. Netiboli yapambana kurudi kimataifa, Filbert Bayi atajwa

    Baada ya kupoteza ramani kwa zaidi ya miaka minane, Chama cha Netiboli Tanzania 'Chaneta' kimeanza kupambana kurudisha makali kwenye anga za kimataifa huku ikimtaja mwanariadha...

  9. Pablo alia na adhabu TFF

    Kocha mkuu wa Simba, Pablo Franco leo ametema nyongo na kufukunga kuhusiana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini Sh3 milioni na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania. Adhabu hiyo...

  10. Masau Bwire: Simu 9, Magrupu 286 ya WhatsApp

    KATIKA watu wenye mbwembwe kwenye soka la Tanzania kwa sasa ni Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire. Ni miongoni mwa watu wenye vitu adhimu ambavyo vimetokea kuwakosha mashabiki wengi...

Previous

Page 853 of 2479

Next