ZILITRENDI: Mserbia acharukia uongozi wa Yanga afya kitu ambacho kinampa wakati mgumu la machaguo ya wachezaji kulingana na mechi. Pia kocha huyo alilalamikia tabia ya wachezaji wa timu hiyo hasa wale wanaotoka nje ya Tanzania...
ZILITRENDI: Wawili Simba wazuiwa Nigeria Odhiambo hati zao za kusafiria (pasipoti) zilikuwa uhamiaji jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata vibali, lakini tulizipata pasi hizo wakati timu inajiandaa kuondoka wakati huo ubalozi wa...
Onyango: Mkinipa Inonga wameumia kiongozi uwanjani, ni mwepesi wa kutoa maelekezo sio safu ya ulinzi pekee hadi wachezaji wengine amekuwa akizungumza nao. Wawili hao kwenye michezo 17 iliyochezwa na Simba wamecheza pamoja kwenye...
UBISHI WA MZEE KALIUA: Picha nyingine kubwa nyuma ya mikono imara ya Manula Simba waliteketea tena ugenini dhidi ya ASEC Mimomas kwa roho mbaya. Haishtui sana Simba kupoteza ugenini. Mara zote wanakuwa wajanja kwa Mkapa kuliko viwanja vya watu.
Hat-trick ilimponza Jeremiah Juma? KAMA kuna kitu kinampa mawazo straika wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma ni kutocheka na nyavu tangu alipofunga hat-trick dhidi ya Namungo FC, Novemba 27, mwaka jana.
Msuva azikimbia Simba, Yanga Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva amezima uvumi wa kuzitumikia klabu kongwe za Simba na Yanga akisema hana mpango wa kucheza soka nchini kwasasa.
Simba yajipa siku 10 kali, yaomba mastaa wake Stars SIMBA wamesisitiza kwamba wanajua chakufanya ndani ya siku 10 kuanzia leo kabla ya kucheza mechi muhimu ya kufuzu robofainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya USGN Jijini Dar es Salaam.
Yanga inabeba huyu mwamba SIMBA imetua juzi ikitokea nchini Benin ambako walipoteza kwa mabao 3-0 lakini mtu ambaye aliwafunga Wekundu hao nyumbani na ugenini watani wao Yanga wameanza hesabu kali za kumshusha msimu ujao.
Taifa Stars yaichapa Afrika ya Kati TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Novatus aipeleka Stars mapumziko kifua mbele BAO la Frikiki ya moja kwa moja lililofungwa na kiungo Novatus Dismas dakika ya tisa limetosha kuipeleka mapumziko timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya...