PRIME Simba, Yanga kuingia kibabe Algeria YANGA na Simba wikiendi hii zitakuwa Algeria kucheza mechi zao za pili hatua ya makundi dhidi ya miongoni mwa vigogo wa nchi hiyo katika michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf).
PRIME Yanga yapewa njia mpya CAFCL MATOKEO ya kufungwa mabao 2-0 nyumbani kutoka kwa Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yameendeleza mkosi ambao Yanga imekuwa nao kwenye mechi za mwanzo za hatua ya makundi ya mashindano ya...
Slot afunguka ishu ya Salah KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema mahojiano ya hivi karibuni ya staa wake Mohamed Salah aliyesema hadi sasa hakuna mazungumzo ya kumuongeza mkataba mpya hayajaathiri chochote katika utendaji...
Manchester City bado mambo magumu MAMBO bado ni magumu kwa kikosi cha Manchester City, baada ya kukubali sare ya mabao 3-3 katika mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi, jana usiku.
Lewandowski mbioni kustaafu BARCELONA, HISPANIA: MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Robert Lewandowski, ameweka wazi kwamba yupo mbioni kuachana na soka licha ya kuwa katika kiwango bora tangu ajiunge na Barcelona. Lewandowski...
Zinchenko: Arteta ni mastermind LONDON, ENGLAND: STAA wa Arsenal, Oleksandr Zinchenko amesema kocha wake Mikel Arteta huwa anapenda kucheza na akili za makocha wenzake kabla ya mechi kwa kutumia mbinu mbalimbali ambazo huwa...
Sane bado anaiwaza EPL STAA wa Bayern Munich, Leroy Sane amesema bado anatazama na anaipenda Ligi Kuu England hali inayozidisha tetesi kwamba anaweza kutua Arsenal au Manchester United zinazohusishwa kutaka kumsajili.
PRIME JICHO LA MWEWE: Gamondi hajui kilichompiga, karibu Ramovic ILIWAHI kumtokea Nasireddine Nabi. Iliwahi kuwatokea Djuma Shaban na Yannick Bangala. Unapigwa na kitu kizito usoni na haujui kimetokea wapi. Na sasa imetokea kwa Miguel Gamondi. Amepigwa na kitu...
Riadha Pwani yapata viongozi wapya CHAMA cha Riadha Mkoa wa Pwani kimepata viongozi wapya watakaokiongoza kwa miaka minne, akiwamo Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Imani Makongoro.
SIO ZENGWE: Hamasa ya Stars imepotea na thamani yake WAKATI Mbrazili Marcio Maximo akiwa kocha wa Tanzania, kulikuwa na hamasa kubwa kutoka kwa wananchi kwa timu yao ya taifa ya soka baada ya miaka mingi ya kutothaminiwa.