Harmonize agonga kolabo ya kibabe na mastaa kibao Ghana MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul 'Harmonize' ameshirikishwa na staa wa muziki kutoka Ghana, KJ Spio katika kibao kiitwacho 'Messi".
Mchekeshaji Molingo afariki dunia kwao Chato Mchekeshaji Frank Patrick, maarufu Molingo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 10,2024 nyumbani kwao Chato, mkoani Geita ambako alikuwa akiuguzwa na mama yake mzazi. Taarifa ya kifo...
Kumekucha! KenGold yatimua watano kwa mpigo Dirisha dogo la usajili tayari limekwisha kufunguliwa tangu Desemba 15, klabu mbalimbali zimeanza kufanya maboresho ya timu zao ili kuongeza nguvu na kufanya vizuri nmzunguko wa pili wa...
Mataji ya Arteta yamshangaza shabiki SHABIKI mashuhuri wa Arsenal, Piers Morgan ameshangazwa na utetezi wa kocha Mikel Arteta juu ya mataji aliyobeba kwenye timu hiyo.
Arsenal mambo safi KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kwamba mastaa wake Declan Rice na Bukayo Sako wako freshi na kufichua kuwa huenda Kai Havertz akarejea kabla ya msimu huu kumalizika.
Camara, Djigui wakomaliwa KIPA Patrick Munthary wa Mashujaa, ameweka wazi kuongeza ushindani wa kupambana kubaki ndani ya nafasi ya tatu kwa makipa wanaoongoza kwa kutoruhusu mabao kwenye Ligi Kuu (Clean Sheet).
Eti Nagelsmann apewe Man City MABOSI wa Manchester City wameambiwa wamchukue Julian Nagelsmann akarithi mikoba ya Pep Guardiola - uamuzi ambao unaweza kumpa fursa Jurgen Klopp kwenda kunasa ajira ya kuinoa Ujerumani.
NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Simba chupuchupu misimu mitatu HUTOKEA mara chache mno katika soka, lakini utani wa jadi wa Simba na Yanga ni zaidi ya burudani, kwani mwaka 1988 Wekundu wa Msimbazi waliponea kushuka daraja kwa msaada wa watani wao hao.
Duh! Ederson boksa moja miaka minane KIPA namba moja wa Manchester City, Ederson amefichua kuna kitu amekuwa akikifanya kama imani kwake, kuvaa nguo ya ndani moja kwa kipindi cha miaka minane.
Amorim amng'ata sikio bosi Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo, Jason Wilcox kushirikiana naye vilivyo na kuwa makini katika dirisha lijalo la usajili ili kufanikisha mpango...