Messi kuwaaga mashabiki Argentina Oktoba 6 Lionel Messi ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin utakaochezwa Oktoba 6, 2026 katika Uwanja wa Monumental, Buenos Aires, ukiwa...
Mchora katuni Mwananchi King Kinya afariki dunia MFANYAKAZI wa Idara ya Habari ya kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Kinyagulo Tuzo maarufu kama King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.
MZEE WA UPUPU: Youssouph Dabo anakuja Tanzania Je, ni timu gani? Senegal zinadai hivyo. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Senegal, Saikou Seydi, Dabo atajiunga na klabu ya Azam ya Dar es Salaam. Mwandishi huyo aliandika hayo kupitia mtandao wa...
KISIWA CHA MAUTI - 16 iliibwa hospitalini ili kutengeneza kesi dhidi ya mwandishi wa habari.” Mwandishi wa habari ile ambaye aliweka jina lake alikuwa mhariri wangu. Huku mwili ukinisisimka, nilianza...
Wydad yashinda mechi ya Ligi, ijayo vs Simba Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), timu ya Wydad Casablanca leo Desemba 6 imecheza mechi ya Ligi Kuu Morocco na kushinda mabao 3-1 ikiifunga Mouloudia Club of Oujda. Wydad...
Mayele afuata tuzo yake Congo MSHAMBULIAJI kinara wa Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele ameifuata tuzo yake DR Congo ambayo inatarajiwa kutolewa Januari 7 mwaka huu. Mayele ameondoka jioni hii kuelekea nchini kwao ambapo safari...
Simba SC mechi mbili siku moja Simba SC leo Julai 27 itacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Turan PFK inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijan. Mechi ya kwanza itapigwa saa 5 asubuhi na ya pili saa 12 jioni ambapo Simba imesema...
Fraga anarudi mwanangu KIUNGO Gerson Fraga amewapa habari njema mashabiki wa Simba kuwa amepona majeraha yake ya muda mrefu na muda sio mrefu atarejea uwanjani na anatamani kurudi ndani ya timu hiyo.
Ruvu kutambulisha nane wapya KLABU ya Ruvu Shooting imejitapa kesho kutangaza wanajeshi wake 25 watakao ingia kambini kujiweka sawa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara. Ruvu walimaliza nafasi ya 11 katika msimu...
Yassin amtibulia Gadiel kwa Singida SIMBA ilikuwa na mipango ya kumtema Gadiel Michael ili imvute, beki wa kushoto wa Polisi Tanzania, Yahya Mbegu, lakini dili hilo limekufa. Wameamua kumbakisha kikosini.