Afrika katika mtego wa fainali Kombe la Dunia 2026 PAZIA la Kombe la Dunia 2026 limefunguliwa jana, Alhamisi katika nchi ya Mexico huku Bara la Afrika likiwa katika mtego wa kihistoria wa mashindano hayo, ikiwa na wawakilishi 10 kwa mara ya...
Baada ya Mexico, sasa ni zamu ya Canada na Marekani BAADA ya kushuhudia wenyeji wenza wa fainali za Kombe la Dunia, Mexico wakitoana jasho dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi, macho ya mashabiki sasa yanaelekezwa nchini Canada ambako...
Nyota Mexico atumia dakika 24 kuandika rekodi mpya Kombe la Dunia Nyota huyo amecheza mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia na kuweka rekodi hiyo katika ushindi wa kikosi hicho wa mabao 2-0, dhidi ya Afrika ya Kusini.
Afrika Kusini na historia mbaya Kombe la Dunia Kadi nyekundu za kiungo Yaya Sithole na mshambuliaji Themba Zwane katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Mexico, imemfanya aingie katika rekodi ambayo haikufikiwa kwa miaka 32.
Coca Cola yazindua kampeni ya Kombe la Dunia KAMPUNI ya Coca Cola Tanzania imezindua kampeni ya kitaifa ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 inayolenga kuwaunganisha mashabiki wa soka nchini kupitia burudani, promosheni mbalimbali na shughuli za...
Majeraha yamstaafisha Mjapan wa Liverpool KIUNGO wa Liverpool na timu ya taifa ya Japan, Wataru Endo ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa, ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe kwenye kikosi cha timu hiyo kinachoshiriki Kombe la...
Huyu ndiye Julian Quinones Kiboko ya Ronaldo MSHAMBULIAJI wa Mexico, Julian Quinones ameweka rekodi baada ya kufunga bao la kwanza katika fainali za Kombe la Dunia 2026 wakati wenyeji hao wakicheza dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa...
Refa Msomalia aliyezuiwa Marekani kuchezesha UEFA Super Cup Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) umempanga Refa Omar Artan kuchezesha mechi ya taji la UEFA Super 2026 baina ya PSG na Aston Villa, Agosti 12, 2026.
Messi avunja rekodi, atuma ujumbe Kombe la Dunia MSHAMBULIAJI Lionel Messi alikuwa miongoni mwa wachezaji walioangaza katika ushindi wa Argentina dhidi ya Iceland katika mechi yao ya mwisho ya maandalizi kabla ya Kombe la Dunia.