Kisa kuachika, JLO ataka kujiua MWANAMUZIKI wa Marekani, Jennifer Lopez (JLO) amesema aliwahi kufikia hatua ya kutaka kujiua baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Marc Anthony mwaka 2014.
Pep Guardiola, Semenyo lolote linatokea PEP Guardiola atakuwa bize dirisha la Januari huku staa Antoine Semenyo akiripotiwa kuwa kwenye orodha ya wachezaji inayopanga kuwasajili katika uhamisho huo wa majira ya baridi huko Ulaya.
Owen: Shearer? Sina stori naye MICHAEL Owen amesema amekuwa hazungumzi na Alan Shearer baada ya kudai alifanya makosa kumkosoa wakati alipokuwa akicheza chini yake huko Newcastle United.
Kumekucha Arsenal, Arteta kushusha vyuma Januari KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri kwamba atafanya jambo kwenye dirisha la usajili la Januari ili kukiongezea nguvu kikosi chake.
Enzo Maresca aanza kutajwa Man City Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca, ametajwa kama kocha ambaye anaweza kuchukua nafasi ya Pep Guardiola endapo Mhispania huyo ataondoka katika kikosi cha Manchester City msimu ujao.
Morocco yaongoza mbio za ubingwa AFCON 2025 Kompyuta mahiri ya takwimu ya Opta Supercomputer, imetoa utabiri wa mataifa yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, mashindano yatakayoanza wikiendi hii...
Mbappe kaweka shilingi yake kwa Morocco SUPASTAA wa soka, Kylian Mbappe anaamini chama analochezea swahiba wake, Achraf Hakimi ambako ni Morocco ndilo litakalonyakua ubingwa wa AFCON.
Neymar anaandaliwa akakipige Kombe La Dunia 2026 NYOTA wa Brazil, Neymar amefanyiwa matibabu maalum ya goti wakati wa mapumziko ya kimataifa ili kumweka katika hali bora kuelekea Fainali za Kombe la Dunia 2026.
Bayern Munich yatuliza mashabiki majeraha ya Kane BAYERN Munich imetoa taarifa njema kuhusu mshambuliaji wao tegemeo, Harry Kane, huenda akarejea uwanjani mapema kabla ya mechi muhimu dhidi ya Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
West Ham yalia na VAR UONGOZI wa West Ham United unatarajiwa kuwasiliana rasmi na bodi ya waamuzi England, PGMO, kuomba maelezo kutokana na uamuzi wa VAR kufuta bao lao la dakika za mwisho dhidi ya Arsenal, Jumapili...