Hizi dalili zilizojitokeza Yanga siyo nzuri MSAFARA wa timu ya Yanga, umeondoka jioni ya jana kwenda mjini Algiers, Algeria kwa ajili ya pambano lao la marudiano la michuano la Kombe la Shirikisho Afrika inayosimamiwa na kuendeshwa na...
Mzambia Yanga afanya maamuzi magumu KIKOSI cha Yanga kiliondoka nchini jioni ya jana Alhamisi kuelekea Algeria kwa ajili ya pambano lao la marudiano la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MC Alger, lakini Kocha Mkuu wake, George...
Manji awatia kiburi Yanga KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Yanga ikiwa ni cha kwanza kutoka kwa Simba tangu Emmanuel Okwi alipowalaza mapema Machi 8, 2015 ikiwa ni miaka miwili kasoro siku 17 tu, kimewafanya waliweke...
Yanga yapaa, Manji bado WAKATI msafara wa Yanga wenye watu 30 wakiwamo wachezaji 20 ukipaa asubuhi ya leo kuelekea Comoro, huku nyuma Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji bado alikuwa akishikiliwa na Polisi katika...
Wanne wapigwa benchi kubwa Yanga KOCHA wa Yanga, George Lwandamina si mtu wa mchezo mchezo, amewatoa nishai baadhi ya mastaa wa timu hiyo kwa kuwachomesha mahindi nje tangu atue Yanga miezi miwili iliyopita.
Kumbe Mkata Umeme anawainjoi tu KIUNGO Mzambia, Justine Zulu maarufu kama Mkata Umeme amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka benchi kujihakikishia nafasi katika kikosi cha kwanza cha Yanga huku akiwaacha mastaa wengine wanane...
Somo la Twite litadumu sana MWANADAMU anaishi mara moja tu. Mbuyu Twite yupo mmoja tu na ameishi mara moja pale Yanga na sasa imefikia wakati wa kumpa mkono wa kwaheri. Hakuwahi kupendwa kama Haruna Niyonzima lakini umuhimu...
Nyamagana sasa ng’aring’ari UWANJA wa Nyamagana una historia ndefu katika soka la Tanzania, kwa wanaokumbuka mwaka 1974 lilipigwa pambano la kihistoria la watani wa jadi Simba na Yanga na Vijana wa Jangwani kushinda mabao 2-1.
Pacman usimchezee kabisa WIKIE NDI iliyo pita bondia mkongwe Manny ‘Pacman’ Pacquiao aliyetangaza kustaafu ngumi Aprili mwaka huu, alikatiza safari yake ya kustaafu na kurejea ulingoni kwa kishindo, akamchapa Jersie...
Chirwa sasa anateleza tu STRAIKA aliyekuwa akipondwa kwa kushindwa kufunga mabao Yanga, Obrey Chirwa kwa sasa anateleza tu, jana Jumatano ametupia tena bao wakati timu yake ikipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Toto...