He! Arsenal yaajiri kocha wa mipira ya kurusha ARSENAL inataka iwe tishio zaidi kwenye mipira iliyokufa baada ya kumchukua gwiji wa mipira ya kurusha, Thomas Gronnemark.
European Super League imekufa rasmi REAL Madrid na UEFA zimetangaza kuwa zimefikia rasmi hatma ya mgogoro wao wa kisheria kuhusu pendekezo la kuanzishwa kwa Ligi ya European Super League.
Motsepe afichua siri fainali Simba, Berkane Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amefichua kuwa alitamani mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Berkane, Mei 25, 2025...
KMC yaachana na Maximo baada ya siku 131 SIKU 131 zimetosha kwa Marcio Maximo kuwa Kocha wa KMC, baada ya klabu hiyo leo Desemba 6, 2025 kutangaza kusitisha mkataba wake.
Gabriel Jesus arejeshwa kikosini, Arsenal ikijiandaa na Club Brugge Arsenal wametangaza kuwa Gabriel Jesus ameongezwa kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya kuanzia sasa.
Harry Kane hii sasa sifa, afanya kufuru Harry Kane alitoka benchi na kufunga hat-trick wakati Bayern Munich walipokuwa na ushindi mkubwa wa 5-0 dhidi ya VfB Stuttgart ushindi wao wa 72 ambao ni rekodi katika Bundesliga na kuongeza...
Isak anunua mbwa kwa Sh96 milioni STRAIKA wa Liverpool, Alexander Isak ametumia Pauni 30,000 (Sh95,508,600) kununua mbwa kwa ajili ya kumlinda kutokana na kupokea meseji nyingi za vitisho vya kuawa.
Vinicius, Real Madrid mambo yamenoga TAARIFA za ndani zinaeleza wawakilishi wa Real Madrid na wale wa Vinicius Junior wamefikia makubaliano kamili ya kumuongeza mkataba mpya Mbrazil huyo kwa muda mrefu zaidi.
Vijana wanolewa Mambo Youth Challenge, BDL yanukia ZAIDI zaidi ya 50 wenye umri chini ya miaka 18, wameshiriki katika mafunzo ya siku moja ya kikapu ya Mambo Youth Challenge, kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Zanaki, jijini Dar es Salaam.
Kocha Afrika Kusini ajiweka njia panda Kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos, amebadili kauli yake akisema kwamba, atajipa muda wa kutafakari kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho wa kuachana na timu hiyo, huku akisema milango bado iko wazi...