Cannavaro pekee aliyekuwa uwanjani Yanga ikipigwa mkono na Simba 2012
Kuelekea katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakao chezwa Agosti 23, Uwanja wa Taifa ni Nadir Haroub ‘Cannavaro’ pekee aliyesalia katika kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba mabao 5-0, Mei 6...