Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Klabu za England zasubiri kwa hamau dirisha la usajili Januari

Muktasari:

  • Awali, wasimamizi w ligi Ulaya walitagaza kuwa huenda wakafuta dirisha hilo la usajili la Januari kuanzia mwakani.

Klabu za England, zinasubiri kwa hamu kusajili wachezaji waliowakosakosa kwenye usajili wa kiangazi msimu huu kuwaingiza vikosini kupitia dirisha dogo la Januari mwakani.

Awali, wasimamizi w ligi Ulaya walitagaza kuwa huenda wakafuta dirisha hilo la usajili la Januari kuanzia mwakani.

Hata hivyo, ilielezwa kwamba dirisha hilo lisiondolewe kutokana na umuhimu wake.

Dirisha hilo la usajili wa Januari lilianzishwa mwaka 2003 baada ya Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa)  kulipitisha.

Miongoni wa wachezaji waliowahi kuuzwa kupitia dirisha hilo kwa pesa ndefu ni Oscar aliyeuzwa China kwa dau la Pauni 60 milioni. Pia Dimitri Payet alilazimika kurudi Marseille akitokea West Ham dirisha lililoita la Januari.