Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8454 results for Mwandishi Wetu :

  1. Morocco yatinga 32 bora Kombe la Dunia, Haiti ikiaga

    USHINDI wa mabao 4-2 ilioupata timu ya taifa ya Morocco dhidi ya Haiti leo, umekifanya kikosi hicho kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia, ikiwa ni taifa la kwanza kutinga hatua ya mtoano...

  2. Brazil yaichapa Scotland, Neymar arudisha mzuka

    Brazil imefanikiwa kumaliza kinara wa kundi lake ikikata tiketi ya kutinga hatua ya 32 bora, ikiichapa Scotland kwa mabao 3-0, ikimaliza kibabe mechi za makundi.

  3. PRIME Aziz KI ikibuma, chuma kinatua

    Soma zaidi hapa!

  4. Ghana 'wamenyongwa' Kombe la Dunia

    Wamenyongwa

  5. Yanga, Simba zafuzu Ligi ya Mabingwa

    Yanga na Simba zimekata rasmi tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya kila moja kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mechi zilizocheza dhidi ya timu za Azam na Mtibwa...

  6. Ngoy apiga tatu, Nduwumwe amfikia Fei Toto

    Mshambuliaji nyota wa Namungo FC, Mkongomani Fabrice Ngoy akifunga Hat Trick ya tatu katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kuifungia timu hiyo mabao matatu kwenye ushindi wa 3-2, dhidi ya KMC FC.

  7. Jonas Adjetey; Fundi wa kupaka rangi aliyemzuia Harry Kane Kombe la Dunia

    FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimeendelea kutoa simulizi nyingi za kusisimua, matokeo ya kushangaza na hadithi za kuvutia, lakini simulizi ya Jonas Adjetey ni miongoni mwa zile zinazogusa zaidi...

  8. “Cristiano hana nafasi kwenye meza moja na Maradona, Pele na Messi”

    Mjadala kuhusu nani ni mchezaji bora zaidi kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo umeendelea kuwagawa mashabiki wa soka duniani kwa zaidi ya miaka 15.

  9. PRIME Dakika 270 za mnyukano Ligi Kuu

    MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025-2026 unaelekea ukingoni huku zikibaki raundi tatu pekee, sawa na dakika 270 za uamuzi mgumu kwa kila timu, kabla ya pazia kufungwa rasmi.

  10. Uwanja mpya Man United usipime

    Manchester United wamepiga hatua muhimu katika mpango wao wa kujenga uwanja mpya wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 100,000 baada ya kupata ekari 25 za ardhi katika eneo la Trafford Park.

Previous

Page 66 of 846

Next