Mastaa Simba, Yanga na Singida FG hatihati kuikosa Ngao ya Jamii Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema wachezaji 10 wa Azam pekee ndio majina yao yamewasilishwa vibali vyao na wanastahili kucheza michezo ya Ngao ya Jamii 2023 mkoani Tanga. Katika taarifa...
Simba, Vihiga Queens ngoma ngumu Simba Queens ya Tanzania na Vihigwa Queens wameenda mapumziko bila kufungana katika Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa soka la wanawake kwa nchi za Afrika...
Diamond: Nilitoa zaidi ya Sh4 bilioni kununua ndege, nikatapeliwa Baada ya kutua Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga leo Oktoba 29, staa wa bongoflava Diamond Platnumz amefunguka kuhusu ishu ya ndege yake binafsi (private jet) aliyotaka kununua. "Ishu ya ndege...
Gamondi: Tumejiandaa kukabiliana na Mamelodi Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ili timu hiyo ifikie mafanikio ya juu lazima icheze dhidi ya klabu kubwa za Afrika kama Mamelodi Sundowns.
Stand United: Tutawaheshimu Mtibwa Sugar Uongozi wa timu ya soka ya Stand United ya mjini Shinyanga kupitia kwa meneja wake, Fred Masai umesema wamejipanga kupata matokeo chanya katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)...
Coastal yamtimua Kocha, mrithi wake huyu hapa Coastal Union imefikia uamuzi wa kuachana na Kocha Ali Ameir baada ya kuinoa katika mechi tatu tu za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
Chelsea yapigwa nyumbani SUNDERLAND imeiduwaza Chelsea uwanjani kwao Stamford Bridge baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Jumamosi.
Mkurugenzi Mtendaji CECAFA asimamishwa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wake, Auka John Gecheo, kufuatia uamuzi wa Kamati Tendaji ya baraza hilo.
Mazraoui kuwavaa Liverpool, Martinez mwezi ujao TATIZO la majeruhi kwenye kikosi cha Manchester United bado linamsumbua kocha Ruben Amorim huku likimtishia kwenye upangaji wa timu yake kwenye mechi.
Rashford aikataa Man United, asisitiza kubaki Barcelona Mshambuliaji Marcus Rashford ameweka wazi kwamba anataka kuondoka kabisa Manchester United na kubaki Barcelona baada ya msimu huu kumalizika.