Simba yabadilishiwa uwanja Botswana Mchezo kati ya Jwaneng Galaxy na Simba wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya pili ambao awali ulipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana, sasa utachezwa kwenye Uwanja wa Obed Itani...
Mkude mtegoni tena Yanga KIUNGO wa Yanga, Jonas Mkude amejikuta mtegoni baada ya nafasi yake kikosini kuendelea kuwa finyu huku baadhi ya vigogo wakitaka aondoke kutokana na mwenendo wake wa kinidhamu.
Chino ahamishiwa Muhimbili, dereva afariki Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa dereva kwenye gari lililombeba mwanamuziki na mnenguaji, Isaya Mtambo maarufu ‘Chino Kid’ pamoja na wenzake, amefariki dunia kufuatia...
Arafat ang'ara kimataifa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), Arafat Haji ameibuka kidedea katika tuzo za jarida la Global Brands zilizofanyika Uingereza katika kipengele cha Mtendaji Bora wa Sekta ya...
KMC yaipiga mkwara Yanga KIKOSI cha KMC kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezao wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga huku mabosi wao wakisisitiza wamejiandaa kuwadhalilisha vinara hao na mabingwa wa kihistoria wa ligi hiyo.
Ndemla huyoo anatua Singida KIUNGO wa Simba aliyepo kwa mkopo wa miezi sita Mtibwa Sugar, Said Ndemla muda wowote huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Singida Big Stars (zamani DTB).
#TBT ZILITRENDI: Mahakama yamtimua kazi Mwakalebela TAREHE kama ya leo yaani Machi 3, ila ndani ya mwaka 2008 iliripotiwa stori ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka (TFF), Fredrick Mwakalebela ni kama hana kazi baada ya mahakama ya kazi...
Simba yawaruhusu mastaa wake kujiunga kambi ya Stars Wachezaji wa Simba Kibu Denis na Mzamiru Yassin wameonakena kwenye mazoezi ya kikosi cha timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kinachojiandaa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan. Mechi hiyo...
TFF yaanika kisa cha Barbara kuzuiwa kwa Mkapa SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefafanua taarifa ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia kushuhudia timu yake ikicheza dhidi ya Yanga leo uwanja wa Mkapa.
Makamu wa Rais SMZ aongoza mazishi ya baba yake Ghalib Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Themed Suleiman Abdullah ameshiriki mazishi ya Baba mzazi wa mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed, marehemu Said Mohamed sambamba na mamia ya...