Mashujaa yazinduka, Azam ikibanwa Arachuga MASHUJAA ikiwa kwenye Uwanja wa nyumbani wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma imejivua joho la unyonge baada ya kuzinduka na kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Pamba Jiji, huku Azam ikiwa ugenini...
TUONGEE KISHKAJI: Godzilla alikuwa anapigisha pindi wasanii wenzake NINAPOONGELEA ngoma zangu bora za wakati wote lazima niitaje 'Kila Wakati' ya Godzilla featuring G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya moto na inawezekana ndiyo ngoma ya kwanza ambayo Godzilla alianza...
EPL yashtua kufuta ujumbe unaomhusu Slot LIGI Kuu England imeibua mkanganyiko baada ya kufuta baadhi ya maneno yaliyopo kwenye taarifa yao rasmi iliyopo kwenye mtandao wao inayobainisha Kocha wa Liverpool, Arne Slot atakabiliwa na...
Yanga yarudi kileleni, rekodi mpya yaandikwa YANGA imeendeleza rekodi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua KMC kwa mabao 6-1 kwenye Uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam, huku Stephane Aziz Ki akifunga hat trick...
Chelsea kuchomoa kipa Liverpool INAELEZWA kwamba Chelsea wamepanga kufanya uhamisho mkubwa kwa kipa wa Liverpool ambaye tayari amekiri kwamba anataka kuondoka kwenye timu hiyo.
PRIME Kazi anayo: Vigingi kocha mpya ndani ya Yanga UKISIKIA kata mti panda mti, ndicho kilichofanywa na Yanga baada ya mabosi wa klabu hiyo kushtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic aliyeomba kuvunja mkataba kisha juzi Jumanne akawaaga...
PRIME Mipango ya Ramovic yammaliza Gamondi MOTO wa kocha Sead Ramovic bado unaendelea kuwachoma wapinzani wa Yanga katika Ligi Kuu Bara baada ya Gusa Achia Twende Kwao kumbeba tangu ajiunge na timu hiyo kutoka TS Galaxy ya Afrika Kusini...
Morocco: AFCON hii tutawaonyesha, Msuva atia neno WAKATI Watanzania wakiendelea kulipigia hesabu ndefu kundi la timu ya tifa ‘Taifa Stars’ katika michuano ya Afcon 2025, kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ametoa mtazamo wake...
PRIME Mambo manne yalivyoibeba Ligi Kuu Bara BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imesema kupanda kwa viwango vya ubora wa Ligi Kuu Bara kumetokana na mambo makuu manne.
Amorim avunja TV, mashabiki wafurahia KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amevunja televisheni kwenye vyumba vya kubadilishia baada ya kupata hasira akiwagombeza wachezaji wake kutokana na kucheza kwa kiwango cha ovyo kwenye...