Okoyo siyo soka tu hata gitaa freshi KIUNGO wa kati wa KMC, Deusdedity Cosmas Okoyo amesema nje na kucheza soka ni mtaalamu wa kupiga gitaa linalomsaidia kumpa utulivu anapopata muda wa kupumzika baada ya mechi.
Kihimbwa hataki kumaliza kinyonge WINGA wa Fountain Gate, Salum Kihimbwa amesema licha ya msimu mbaya akishindwa kufikia lengo la kufunga mabao 10 na asisti 10 kama alivyokuwa amepanda awali, lakini kwa mechi tatu zilizobaki...
Wibol Maseke aomba msimu uishe tu KIPA wa KMC, Wibol Maseke amesema kwa namna mambo yalivyomuendea kombo akiwa na kikosi hicho kwa msimu huu kwa kucheza mechi saba tu, anaona ni vyema msimu ulishe ili ajipange upya.
Debora upepo umebadilika ghafla KATI ya sajili zilizobamba msimu huu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara katika kikosi cha Simba, basi ilikuwa ni ule wa kiungao Debora Fernandes Mavambo aliyetua akitokea Mutondo Stars ya Zambia...
Nyoni aiota Top 5, Kabunda amtaja Mgunda WAKATI nyota mkongwe wa Namungo, Erasto Nyoni akiweka bayana anavyotamani kuona timu hiyo ikipambana ili imalize katika Tano Bora ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji anayekipiga kwa Wauaji wa Kusini...
PRIME Yanga kuna kazi nzito, saba kufumua kikosi 2025/26 YANGA inafanya mambo yake ya usajili kimyakimya kwa ajili ya msimu ujao, hiyo ni baada ya kujihakikishia mapema tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na kwa sasa kuongoza msimamo wa...
Straika Fountain atamani bao moja tu! MAISHA hayana usawa, kwani wakati washambuliaji wa timu nyingine za Ligi Kuu Bara hususan waliopo Simba, Yanga, Azam na Singida BS wakipigia hesabu kiatu cha mfungaji bora wa msimu, hali ni...
Sillah: Bara inastahili namba nne Afrika KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah amesema kwa namna Ligi ya Tanzania ilivyo ngumu na ushindani wa juu inastahili kutajwa kati ya zilizo bora barani Afrika ambapo kwa sasa ipo nafasi...
PRIME Bosi Takukuru afunguka sakata la kipa Fountain Gate MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, Bahati Haule, amesema wameanza rasmi kufuatilia sakata la kipa wa Fountain Gate, John Noble aliyesimamishwa na klabu...
Msikie Yona Amos kuhusu ‘clean sheet’ KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos amesema ni ngumu kwake kutaja anahitaji kumaliza na clean sheet ngapi msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na presha ya mechi zilizosalia.