SPOTI XTRA: Maumivu ya elimu ya soka Tanzania >KWENYE dunia hii ya sasa ya soka la Tanzania, leo hii jifanye mdau wa soka ama mwandishi wa habari za soka, na baada ya hapo chukua nafasi yako na uende kumuuliza mwanandinga wa Tanzania...
Pep apata ufumbuzi wa timu yake KATIKA toleo lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alilichambua tukio muhimu la Kocha Pep Guardiola pale anapoamua kukaa kutafuta suluhisho katika timu yake...
NINACHOKIAMINI: Uteuzi wa Kizuguto TFF ni kituko DUNIA huwa haiishi vituko na hayo ndiyo mambo ambayo tumekuwa tukiyaona kila siku na bado tutaendelea kuyaona miaka mingi ijayo.
Kikosi cha Pep kiko tayari kwa lolote KATIKA toleo lililopita kwenye Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alizungumzia hamasa iliyoanza kuonekana katika timu huku wachezaji wakiwa na shauku ya kupata mafanikio ya mataji...
Mikakati mipya ya Pep Baryen ni kupiga pasi nyingi TOLEO lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau aliendelea na mazungumzo yake na Kocha Pep Guardiola ambaye alifunguka kuhusu mikakati yake kwa msimu wake wa...
ANATISHA: Umakini wa kipa Neuer wampagawisha Guardiola TOLEO lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi, Marti Perarnau aliyachambua mafanikio ambayo Pep Guardiola, alianza kuyapata kwa wachezaji kucheza alivyowaelekeza hadi kupata...
Ronaldo alilala kitandani na mpira-5 TOLEO lililopita mwandishi, Luca Caioli aligusia mazingira yalivyokuwa wakati Messi na Ronaldo wanazaliwa jinsi ujauzito wa Messi ulivyoibua hofu kwa baba yake na jinsi mimba ya Ronaldo...
Makuzi ya mtaani kwa Lionel Messi na Ronaldo hayakupishana KATIKA toleo lililopita mwandishi, Luca Caioli alimzungumzia namna kipaji cha Messi kilivyoanza kuonekana ingawa kwa wakati huo alipenda zaidi kuchezea gololi na mara chache mpira hadi...
Messi,Suarez na Neymar ilipoichapa juve ya kina Pogba KATIKA toleo lililopita, mwandishi, Luca Caioli aliichambua mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Barca na Juventus ya msimu wa 2014/15. Sasa endelea…
Messi vs Ronaldo : Siku ya kuzaliwa kwa Messi yawa gumzo KATIKA toleo lililopita, mwandishi, Luca Caioli alionyesha jinsi ambavyo Ronaldo yuko juu kwenye mitandao na wakati mwingine kuizidi klabu aliyoikuwa akiichezea Real Madrid kwenye Facebook.