Kocha Milambo: Bado Serengeti Boys tuna nafasi Kocha wa Serengeti Boys, Oscar Mirambo licha ya kupoteza mchezo wa pili dhidi ya Uganda amesema bado kuna nafasi ya kufuzu.
Serengeti yakwama, Nigeria Safi WAKATI safari ya Serengeti Boys kwenda Brazil ikipata vigingi baada ya jana Jumatano kupoteza tena mchezo wake wa Kundi A wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika U17 mbele ya Uganda, timu ya...
Serengeti na Uganda ni Do or die NI presha tupu katika mchezo wa pili wa Kundi A, timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ wanapokutana na Uganda leo Alhamis, Uwanja wa Taifa.
Serengeti Boys yaahidi furaha kwa Watanzania kesho Ushindi dhidi ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Uganda, utafufua matumaini ya Serengeti Boys kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa vijana wa umri huo zitakazofanyika Brazil...
Beki wa Serengeti Boys hatihati kuivaa Uganda Kipigo cha mabao 5-4 kutoka kwa Nigeria kimeiweka Serengeti Boys kwenye nafasi ngumu ya kufuzu nusu fainali ambapo sasa inahitajika kushinda mechi zake mbili zinazofuata dhidi ya Uganda na Angola
Mirambo: Uganda wameshikilia tiketi yetu ya kwenda Brazil Tanzania ‘Serengeti Boy’ inahitaji ushindi tu dhidi ya Uganda kesho Jumatano ili kufufua matumaini yake ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia Brazil.
Serengeti Boys yapewa mchongo kuiua Uganda kesho Timu mbili za juu Kundi A na B zitakata tiketi ya kuwakilisha Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika Brazil.
Serengeti Boys bado nafasi ipo Afcon U17, msingi ni kupambana MICHUANO ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) U17 kwa mwaka 2019 imeanza kwa wenyeji Tanzania kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Nigeria.
Kipa Serengeti kupikwa upya MASHABIKI wa soka wamepagwa baada ya kushuhudia timu ao ya Vijana U17 Serengeti Boys ikipoteza mbele ya Nigeria kwa mabao 5-4, lakini ishu kubwa ni namna mechi hiyo iliyozalisha mabao mengi...
Milioni 5 za Mengi zabebwa dakika 22 tu! ACHANA na matokeo ya kuanza vibaya kwenye mchezo wao wa kwanza wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) U17, vijana wa Serengeti Boys wameibeba Sh 5 milioni za Mlezi wao, Reginald Mengi...