Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9609 results for Mwandishi :

  1. Nafasi nyingine kwa Samatta

    MBWANA Samatta leo Jumamosi anatarajiwa kushuka tena uwanjani wakati timu yake ya Genk itakapokuwa ugenini katika mfululizo wa mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji.

  2. Irankunda aondoka Watford, ajiunga Sporting

    MSHAMBULIAJI wa Watford, Nestory Irankunda, ameondoka klabuni hapo baada ya msimu mmoja na kujiunga na vigogo wa Ureno, Sporting Lisbon, kwa uhamisho wa moja kwa moja.

    IRANKUNDA pict
  3. Fenerbahce yakana tetesi za kumtaka Gittens

    FENERBAHCE imekanusha taarifa zinazodai kuwa inataka kumsajili winga wa Chelsea, Jamie Gittens, ikieleza kuwa tetesi hizo hazina msingi na ni sehemu ya jitihada za kuipotosha klabu.

    GITTENS Pict
  4. Coventry yamvizia beki wa Chelsea

    COVENTRY City imeingia kwenye mbio za kumsajili beki wa Chelsea, Josh Acheampong, huku mabingwa hao wa England sasa wakionekana kuwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya mchezaji huyo, kwa mujibu...

    BEKI Pict
  5. Patrick Vieira kocha mpya Senagal

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limemtangaza kiungo na nahodha wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (Lions of Teranga).

    VIERA Pict
  6. Yanga yatesti mitambo, yampiga mtu wiki

    Yanga imecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Magereza ya Dar es Salaam ikishinda kwa mabao 7-2. Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa mazoezi wa timu hiyo wa Avic, Yanga imetumia karibu...

    WIKI Pict
  7. Simba yaachana na Bajaber

    KLABU ya Simba, imetangaza kufikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba wa kiungo mshambuliaji, Mohammed Bajaber raia wa Kenya.

  8. Simba yatoa 'Thank you' saba 

    SIMBA imewaaga nyota wake saba ikianza mkakati wa kusuka kikosi chake kwa msimu ujao wa 2026-2027.wa Ghana anarejea Singida Black Stars ambayo alitokea huko wakati anatua Simba msimu wa 2025-2026.

    WAMEONDOKA Pict
  9. Pochettino mguu mmoja nje Marekani

    BAADA ya kuiongoza Marekani kufika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026, Mauricio Pochettino anajiandaa kuachana na timu hiyo na kujiunga na mojawapo ya klabu za Ulaya.

    POCHETINO Pict
  10. Sávio aanza kwa kasi spurs, afunga bao la kwanza

    Saa 48 tu baada ya kukamilisha usajili wake kutoka Manchester City, kiungo mshambuliaji wa Brazil, Sávio, ameanza maisha yake Tottenham Hotspur kwa kishindo baada ya kufunga bao lake la kwanza...

    SAVIO Pict
Previous

Page 56 of 961

Next