Wakongwe wapo sokoni Kombe la Dunia 2026 Kombe la Dunia linaendelea kushika kasi katika hatua za mtoano, njia kuelekea fainali imejulikana, na msisimko unaongezeka kuhusu ni mataifa gani mawili yatakayowania taji kubwa zaidi la soka...
Kevin De Bruyne kumfuata Messi KIUNGO Kevin De Bruyne yupo mbioni kumfuata Lionel Messi katika Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
Kwa nini bao la kusawazisha la Croatia lilikataliwa na VAR? CROATIA walijikuta wakiondoka Kombe la Dunia wakiwa na majonzi makubwa baada ya teknolojia ya VAR na mfumo unaofanana na “Snicko” kuwanyima bao la kusawazisha katika dakika za mwisho za mchezo...
Cristiano Ronaldo ‘amkataa’ dada yake MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo amekanusha madai yaliyotolewa na dada yake kwamba ana mpango wa kustaafu kuchezea timu ya taifa mara baada ya Kombe la Dunia kumalizika.
Aston Villa yaishtaki FIFA kwa CAS ASTON Villa yaifikisha FIFA Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) baada ya kuzuiwa kumsajili chipukizi Brian Madjo.
Yanga yatozwa faini ya Sh100 milioni kutumia 'Jumba la Maajabu' Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya chumba rasmi...
Riyad Mahrez atundika daluga MKONGWE Riyad Mahrez ametangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa dakika chache baada ya Algeria kutolewa kwenye Kombe la Dunia.
CAF yatoa mkeka kwa Yanga, Simba SHIRIKISHO la Soka Afrika(CAF) imetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Usajili wa Anderson watikisa England KIUNGO Elliot Anderson atakuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya Uingereza baada ya kukamilika kwa uhamisho wake wa pauni 116 milioni kutoka Nottingham Forest 116 kwenda Manchester City.