VIDEO: Watu 12 washikiliwa sakata la kutekwa Mo Dewji Mapema leo asubuhi Mambosasa alitaja idadi ya wafanyakazi watatu wa hoteli hiyo ndiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.
Mbilinyi, Kidedea kila mtu atamani kumtoa nungu mwenzake Mabondia hao walitamba kila mmoja akidai atashinda pambano hilo na kuwaomba mashabiki wake wajitokeze kwa wingi kumuunga mkono.
Mohbad kuzikwa baada ya matokeo ya DNA Baba wa marehemu mwanamuziki Ilerioluwa Aloba “Mohbad”, Joseph Aloba, ameweka wazi kuwa sababu pekee inayochelewesha mazishi ya mwanawe ni kukamilika kwa kipimo cha DNA cha mtoto wa Mohbad.
Hersi kushiriki kongamano la FIFA, Qatar leo SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha...
Shabiki Senegal afariki akienda uwanjani SHABIKI mmoja wa Senegal alifariki dunia katika ajali ya gari siku ya Jumamosi akiwa njiani kwenda Tangier ili kuishangilia timu ya Simba wa Teranga katika mechi ya 16 Bora ya Kombe la Mataifa ya...
Chelsea inataka kusajili maeneo yote CHELSEA inaendelea kutafuta wachezaji katika nafasi zote wakati dirisha la usajili likitarajiwa kumalizika usiku wa leo.
Xavi Simons aona mwezi Tottenham Hotspur ALIYEWAHI kuwa kocha wa Brentford, Thomas Frank, alipata ushindi dhidi ya klabu yake ya zamani baada ya Tottenham Hotspur kukatiza mwendo wa mechi tano bila ushindi kwa kuchukua pointi tatu...
Hatimaye Iran wapewa viza kuingia Marekani WACHEZAJI na viongozi wa Timu ya taifa ya Iran imepewa viza ya kuingia Marekani siku chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia wiki ijayo, maafisa wa Marekani wamethibitisha.
Kocha Ufaransa afiwa, kuondoka kambini kwa muda Kambi ya timu ya Taifa ya Ufaransa imepata pigo baada ya kocha wake mkuu Didier Deschamps kufiwa na mama yake mzazi Marie Borda.
Hispania yaitupa nje Uruguay Hispania imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Uruguay kwa bao 1-0 na kuitupa nje ya mashindano timu hiyo.