Simba yachora ramani ya ubingwa Ligi Kuu Bara mapema Mpango wa Simba ni kumaliza ligi mapema kwa maana ya kupata ushindi kwenye mechi zake za nyumbani na ugenini ili Yanga wakimaliza anga za kimataifa, wanaikuta Simba inakaribia kutangaza ubingwa...
Gabo: Safari ya kwenda tuzo za Oscar imekaribia Mchezafilamu Gabo amesema anaiona safari yake ya kuelekea tuzo za Oscar inavyokwenda kukamilika.
Wabrazili Simba wamshika Aussems Kocha wa Simba Patrick Aussems, alisema siku zote huwa wanauliziwa wachezaji hao Wabrazili Zaguiero na Fraga na kile ambacho walikionesha katika dakika zote tisini ndio alikuwa akizungumza kabla...
Neymar kutua Barcelona ni suala la muda tu Barcelona wametuma ofa ya Paund 153milion kama ada ya kumrejesha Camp Nou nyota wao wa zamani Neymar kutoka Paris Saint-Germain huku wakijadiliana kuwa huenda Ousmane Dembele akawa...
Azam yawapa kikosi kilichomuua Fasil Kenema kuivaa KMC Kocha wa Azam, Ettiene Ndayiragije amekianzisha kikosi kilekile kilichopata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Fasil Kenema leo wanaposhuka uwanjani kuivaa KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Chipukizi hawa tishio Ligi Kuu Bara Ushindani huo wa timu za Ligi Kuu hapana shaka utaenda sambamba na ule wa wachezaji ambao kila mmoja atakuwa akipambana ili kutangaza jina lake na kujitengenezea mazingira ya kupata malisho...
Ndayiragije akipangua kikosi chake KOCHA Mkuu wa Azam FC, Etienne Ndayiragije amefanya mabadiliko matatu Katika kikosi chake akihitaji ushindi tu kuivusha timu yake.
Polisi Tanzania gusa unate TIMU ya Polisi Tanzania ndio kioo cha Kanda ya Kaskazini kwa sasa baada ya kushuka kwa JTK Oljoro msimu wa mwaka 2013/14 sambamba na Ashanti United na Rhino Rangers iliyoburuza mkia na sasa...
Azam yaanika jeshi la kuwamaliza Wahabeshi Azam Fc leo inatupa karata yake ya pili kuelekea katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Fasil Kenema baada ya kupoteza katika mchezo wa kwanza waliofungwa 1-0 nchini Ethiopia.
Wageni hawa kazi wanayo PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/2020 litafunguliwa rasmi mwishoni mwa wiki hii kwa mechi kadhaa zitakazochezwa kwenye baadhi ya viwanja nchini.