Rais Trump amsifia tena Harry Kane RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kumpa sifa nahodha wa England, Harry Kane, akimtaja kuwa mmoja wa wachezaji bora na kufichua kuwa aliwahi kucheza naye mchezo wa gofu.
Ronaldo na kilio cha mtu mzima 'UKIONA mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo...' Ndicho kilichoonekana kwa chozi la mshambuliaji wa Cristiano Ronaldo baada ya kukiri hili ilikuwa Kombe lake la Dunia la mwisho, lakini...
Ubelgiji yazima ndoto za Marekani, kuivaa Hispania robo fainali NDOTO za waandaaji wenza wa Kombe la Dunia 2026, Marekani zimezimwa mapema baada ya kuchapwa mabao 4-1 na Ubelgiji katika mechi ya hatua ya 16 bora iliyopigwa kwenye Uwanja wa Lumen Field mjini...
Ronaldo amaliza safari ya Kombe la Dunia kwa majonzi, Hispania ikiweka rekodi TIMU ya taifa ya Hispania imeendelea kuonyesha kwa nini ni miongoni mwa zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ureno katika mchezo...
Mbappé aifukuzia rekodi ya Messi Kombe la Dunia 2026 UFARANSA imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026, baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Paraguay katika mchezo wa hatua ya 16 Bora uliopigwa kwenye Uwanja wa...
Neymar atangaza kustaafu Timu ya Taifa ya Brazil NYOTA wa Brazil, Neymar, ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya Brazil kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norway.
Norway yamaliza safari ya Brazil Kombe la Dunia, Haaland akitupia mawili Brazil imeaga fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Norway katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa New York/New Jersey, Marekani.
Kylian Mbappe ni rekodi juu ya rekodi KYLIAN Mbappe sasa amebakiwa na bao moja tu kufikia rekodi ya Lionel Messi katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, baada ya kufikisha mabao 19 katika michezo 19 ya...
Baraka za Vatican zamfuata Messi Marekani Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, alipokea zawadi maalum iliyobarikiwa na Vatican baada ya tukio la kugusa hisia lililotokea kufuatia ushindi wa Argentina dhidi ya Cape Verde katika hatua ya...