Mourinho kutua Madrid wiki ijayo JOSE MOURINHO yupo mbioni kurejea tena kuinoa Real Madrid kwa mara ya pili baada ya ripoti kutoka Hispania na Ureno kudai kuwa makubaliano tayari yamekamilika kati yake na mabosi wa klabu hiyo...
Bradley Barcola arudi kwenye rada za Arsenal KLABU ya Arsenal inaripotiwa kuongoza mbio za kumsajili winga machachari wa Paris Saint-Germain, Bradley Barcola, katika kipindi kijacho cha majira ya kiangazi. Hatua hii inakuja baada ya...
Fadhili Majiha avuliwa mkanda wa WBC Uamuzi huo ulithibitishwa na Makamu wa Rais wa WBC, Houcine Houichi, ambaye alisema baraza hilo lilifanya jitihada mbalimbali kuwasiliana na menejimenti ya bondia huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo.
Familia, marafiki wa Pedro watoa ya moyoni Brazil FAMILIA ya nyota wa Chelsea, Joao Pedro pamoja na marafiki zake wameelezea hasira na masikitiko yao baada ya mshambuliaji huyo kuachwa katika hali ya kushangaza kwenye kikosi cha Brazil...
Yamal apeleka vita ya Camp Nou mtaani Mitaa ya jiji la Barcelona jana iligeuka kuwa ya rangi nyekundu na bluu wakati klabu ya FC Barcelona ikisherehekea ubingwa wake wa 29 wa La Liga.
Wataalamu waonya kuhusu joto Kombe la Dunia 2026 KUNDI la wataalamu 20 wa kimataifa wa afya, mabadiliko ya tabianchi na sayansi ya michezo wamelionya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kwamba hatua zake za sasa za kukabiliana na joto kali...
City yabeba FA, bado Premier Semenyo aliendelea kuwa tishio kwa Chelsea na baadaye alipoteza nafasi nyingine nzuri baada ya kumpita Marc Cucurella kabla ya kupiga shuti lililotoka nje.
Casemiro azibeba asisti za Bruno KATIKA ile rekodi ya nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes kufikisha asisti 20 msimu huu ndani ya Ligi Kuu England akiweka mzani sawa na Thierry Henry (msimu wa 2002-2003) na Kevin De...
Liverpool yaanza mazungumzo na Andoni Iraola Klabu ya Liverpool imeripotiwa kuanza mazungumzo ya siri na Kocha Mkuu wa Bournemouth, Andoni Iraola, huku mustakabali wa Arne Slot ndani ya Anfield ukiwa shakani baada ya msimu wa Ligi Kuu England.
Ronaldo aipa Al Nassr ubingwa wa Saudi Arabia Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, ameiongoza Al Nassr kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Saudi Arabia ‘Saudi Pro League’ baada ya timu yake kuifunga Damac mabao 4-1 katika mchezo wa...