Usiku wa Uefa vita ya kileleni BAADA ya wikiendi ya burudani ya soka kuacha vilio na furaha. Sasa ni zamu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana zilipigwa mechi nane na matokeo ni kama mlivyosikia huku leo Jumatano kukiwa na vita...
Harambee Starlets kujipima ubavu na Algeria KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Soka Wanawake Kenya, Harambee Starlets, leo Novemba 25, 2025 kitashuka dimbani kumenyana na Algeria katika mechi ya kirafiki kama sehemu ya maandalizi ya Fainali za...
Maabad aibuka shujaa Coastal ikitamba nyumbani MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad, ameibuka shujaa wa kikosi hicho kufuatia kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City.
Arsenal pasua kichwa! Cristhian Mosquera, Declan Rice hoi WIMBI la majeruhi limeendelea kuikumba Arsenal, baada ya kocha mkuu wa timu hiyo ya kaskazini mwa jijini London, Mikel Arteta, kuthibitisha kuumia kwa wachezaji Cristhian Mosquera na Declan Rice.
Amorim akiri kuiba ujuzi kwa wapinzani KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema kwa kutania timu yake inaiba mbinu za kufunga mabao yatokanayo na mipira ya adhabu kutoka kwa wapinzani wao kwenye Ligi Kuu England.
Trent anataka kuondoka Madrid BEKI wa kulia wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold yupo katika rada za timu kadhaa Ulaya zinazohitaji kumsajili baada ya kuona hapati nafasi ya kutosha katika viunga vya Santiago Bernabeu.
Schumacher majeruhi lakini hayupo kitandani GWIJI wa mashindano ya Formula One (F1), Michael Schumacher ambaye alipata ajali mbaya katika mchezo wa kuteleza kwenye theluji miaka 12 iliyopita anaripotiwa kuwa siyo mgonjwa wa kulazwa...
Kocha Chelsea aonya kuhusu Cole Palmer KOCHA, Liam Rosenior ameonya kwamba Cole Palmer hagusiki kabisa Chelsea, licha ya hofu kubwa kuibuka kuwa yuko tayari kujiunga na Manchester United.