Sillah limebaki bao moja Ligi Kuu LIMEBAKIA bao moja ili itimie ndoto ya mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah anayetamani amalize msimu kwa mabao kuanzia 10, anaamini katika mechi mbili zilizosalia dhidi ya Tabora United na...
Mzengela: Bondia aliyenusurika kuchomwa moto kwa wizi UKIMTAZAMA mwonekano wake huwezi kuamini kwamba ni mtu aliyewahi kufanya matukio ya kutisha na kuogofya mtaani kipindi cha nyuma kabla mchezo wa ngumi kumbadilisha kitabia. Huyo ni bondia wa...
Refa Akrama:Nilitoa kadi Simba kimakosa MIONGONI mwa marefa walioingia kwenye historia za kuchezesha dabi za Simba na Yanga nchini ni Mathew Akrama.
PRIME Refa: Hii ’hatuchezi' ni mtego NI vigumu kuona waamuzi nchini wanapewa maua yao na mashabiki, viongozi, wakati mwingine na wachezaji, nadra hiyo ameipata refa wa zamani Mathew Akrama ambaye kwa sasa ni mchungaji wa Kanisa la...
Chikola, Yanga kuna kitu kinaendelea INGAWA ni siri, lakini taarifa zilizoifikia Mwanaspoti ni kwamba mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola na Yanga kuna kitu kinaendelea ikiwa ni mipango ya kujiandaa kwa msimu ujao.
Nangu: Kumkaba Pacome, ufanye kazi muda wote JKT Tanzania imekwama katika mbio za kusaka tiketi ya michuano ya CAF baada ya kufungwa mabao 2-0 na Yanga katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), huku beki Wilson Nangu akisema kumkaba...
Kinachombeba Lazaro Coastal hiki hapa KOCHA wa Coastal Union, Joseph Lazaro amesema uzalendo mkubwa alionao na kuuonyesha kwa timu hiyo, umemfanya awe tegemeo la Wagosi wa Kaya huku akisema imembeba na kumtambulishwa ndani na nje ya...
Dar City, Pazi BDL kama Simba, Yanga LICHA ya juzi kuchezwa mechi tofauti za Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) iliyokuwa na mvuto, msisimko na kujaza mashabiki katika viwanja vya Don Bosco Upanga ni ile iliyohusisha Dar...
PRIME Simba yapewa nondo za kukwepa mtego wa Berkane SIMBA tayari ipo Morocco ikijichimbia jijini Casablanca ili kujiandaa na mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Manispaa mjini Berkane...
Josiah anazitaka nne ngumu Tanzania Prisons USHINDI katika mechi nne mfululizo umeonekana kuipa nguvu Tanzania Prisons, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah akiamini mechi mbili zilizobaki dhidi ya Yanga na Singida Black Stars atapata...