Rekodi nyota wa Ligi Kuu walivyoipeleka Tanzania Kombe la Dunia Futsal TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Futsal imeweka historia ya aina yake baada ya kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2025, ikiwa ni moja ya mataifa mawili tu, pamoja na Morocco...
AFCON U-20: Ngorongoro Heroes kujiuliza kwa Sierra Leone BAADA ya Timu ya taifa ya vijana 'Ngorongoro Heroes' kupoteza mechi ya kwanza ya kundi A kwenye kampeni za kusaka ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 (Afcon U-20), leo Mei 3...
PRIME Ahadi ya Camara Simba CAF KIPA namba moja wa Simba, Mousa Camara amewaahidi mashabiki wa klabu hiyo jambo moja kuelekea mechi ya fainali ya Shirikisho dhidi ya RS Berkane.
Nyoni aiota Top 5, Kabunda amtaja Mgunda WAKATI nyota mkongwe wa Namungo, Erasto Nyoni akiweka bayana anavyotamani kuona timu hiyo ikipambana ili imalize katika Tano Bora ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji anayekipiga kwa Wauaji wa Kusini...
Clara Luvanga namba zimempa heshima Saudia KAMA kuna msimu bora kwa mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayeitumikia Al Nassr ya Saudia basi ni huu.
Chama alivyopishana na medali za CAF KITENDO cha Simba kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kinazidi kuipeperusha Ligi ya Tanzania kimataifa lakini kwa kiungo mshambuliaji, Clatous Chama anaikosa medali hiyo baada ya msimu...
Ngorongoro Heroes yaanza msako wa ubingwa Afcon U20 TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes kesho Jumatano itaanza kampeni za kusaka ubingwa kucheza fainali za Kombe ka Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Afrika...
Stumai, Shikangwa jino kwa jino kiatu Ligi Kuu ACHANA na vita ya upachikaji mabao kwa nyota Jentrix Shikangwa wa Simba Queens na Stumai Abdallah (JKT Queens), kingine ni wanalingana kwa mabao ya ugenini.
Beki Yanga Princess bado anajifunza LICHA ya kutopata nafasi kwenye kikosi cha Yanga Princess, lakini beki wa kulia, Lucy Pajero amesema anajifunza vitu vingi akiwa benchi.
Mlandizi Queens kama KenGold tu HATIMAYE Mlandizi Queens imeshuka daraja rasmi baada ya kucheza mechi 15 bila ushindi ikitoka sare moja sawa na Ken Gold iliyoshuka Ligi Kuu baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya...