Yanga yaichakaza Prisons, Bacca afunga la mkono YANGA leo imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince Dube akitupia bao moja na kumfanya afikishe matano kupitia mechi...
Utamu wa masumbwi kufunga mwaka 2024 WAKATI mwaka 2024 unakaribia mwishoni, kwenye mchezo wa ngumi za kulipwa kumekuwa na ushindani mkali kutokana na kila promosheni kuandaa pambano lake la kufungia mwaka.
PRIME Msimlaumu mtu! Ramovic ahitaji majembe sita, hawa wako hatarini BAADA ya kufanyika tathimini ya washambuliaji wa Yanga kile walichokifanya msimu huu hadi sasa dirisha dogo limefunguliwa, ni wazi uamuzi unaokwenda kufanyika katika eneo hilo hautakuwa na lawama...
Chikola: Miamala ilisoma kisa Yanga Katika Ligi Kuu Bara msimu huu mpaka sasa huenda ushindi wa mabao 3-1 wa Tabora United mbele ya Yanga katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam ndiyo matokeo ya soka ambayo yamezungumzwa...
COSMAS CHEKA: Tunauza sana mapambano nje Cosmas ni mdogo wa bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’ ambaye amekuwa na rekodi kubwa kimataifa zaidi ya kaka yake lakini hatajwi.
SIO ZENGWE: Kwanini haikuwa sahihi kumtimua Gamondi BILA shaka mtu anayeumiza kichwa zaidi kwa sasa ni kocha Saed Ramovich, baada ya timu anayoinoa ya Yanga kupoteza mechi mbili kati ya tatu zilizopita, vipigo ambavyo ni vya kuanzia mabao mawili...
Mussa anavyopiga pesa nje ya soka KAMA ukibahatika kupiga stori za hapa na pale na mshambuliaji wa Mashujaa FC, Mohamed Mussa utagundua mwonekano wake ni tofauti na maisha yake nje ya uwanja anakotambulika kuwa na shughuli...
PRIME Yanga yaruka mtego wa Waalgeria HII inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na...
IDDI PIALALI: Pambano na mfaume lilikuwa na maajabu KAWAIDA maisha ya mwanadamu yamekuwa ya kuhangaika katika kupata mkate wa kila siku kama ilivyokuwa kwa bondia Idd Pialali ambaye ni maarufu sana mitaa ya Manzese, Dar es Salaam.
Boka, Mzize, Aucho wanogesha safari ya Yanga Algeria , Dickson Job, Ibrahim Abdullah 'Bacca', Kouassi Yao Attohoula, Nickson Kibabage, Kibwana Shomari na Chadrack Boka. Viungo; Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoua, Mudathir Yahya, Khalid...