Mkwanja waongezwa Kombe la Dunia 2026 SHIRIKISHO la Soka la England pamoja na mashirikisho mengine yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia mwakani huko Marekani, Canada na Mexico sasa meno yote nje kutokana na kiasi kikubwa cha...
Mastaa 21 matatani Ligi Kuu England NYOTA wa Ligi Kuu England watakaofikisha kuonyeshwa kadi za njano tano katika mechi 19 za mwanzo za msimu watafungiwa kucheza mechi moja yaani ile ya 20, inaelezwa.
Salah atabiriwa mabaya AFCON 2025 HOFU imezidi kuongezeka kwa mashabiki wa soka huko Misri baada ya timu hiyo ya staa wa Liverpool, Mohamed Salah kutabiriwa na kompyuta mpya kuwa itatolewa mapema katika michuano ya mataifa ya...
Stars yaenda Morocco kwa matumaini KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kimeagwa rasmi jana kabla ya kuanza safari ya kwenda Morocco katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoanza Jumapili, Tanzania...
Maguire ndani, Trent nje England KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji 35 wakiwemo watatu ambao hawajawahi kucheza mechi za kimataifa, huku beki wa Manchester United, Harry Maguire na...
Ronaldo ailipua CAF sakata la AFCON 2025 Sakata la kutatanisha kuhusu ubingwa wa AFCON 2025 limechukua sura mpya baada ya nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo kuibuka hadharani na kulaani vikali uamuzi wa CAF kuivua Senegal ubingwa...
Dar City yabeba matumaini BAL SERIKALI ya Tanzania imesema imejipanga kuendeleza sekta ya michezo nchini, hususan mpira wa kikapu, kufuatia hatua ya taifa kuandika historia kwa kushiriki mashindano ya Afrika (BAL) kwa mara ya...
Kisa mwamuzi, kocha Chelsea achefukwa KOCHA wa Chelsea, Liam Rosenior amemlaumu mwamuzi Paul Tierney kutokana na kitendo cha ajabu alichoonyesha cha kuingilia majadiliano ya wachezaji wake kabla ya mechi dhidi ya Newcastle United.
Arsenal yateleza, Manchester City yapata pumzi mpya EPL Sare ya mabao 2-2 kati ya Arsenal na Wolverhampton imeacha maumivu makubwa kwa mashabiki wa Arsenal, hasa ikizingatiwa uzito wa alama zilizopotea katika nyakati muhimu msimu wa Premier League.
Mtoano wa 16 bora Uefa umeanza kunoga TIMU zilizofuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ziko hatua moja karibu zaidi kufahamu wapinzani wao wanaofuata baada ya michezo ya kwanza ya hatua ya mtoano (play-offs).