Dada afunguka Ronaldo kutohudhuria mazishi ya Jota, Adre
BAADA ya ripoti nyingi juu ya kukosekana kwa staa Cristiano Ronaldo kwenye mazishi ya Diogo Jota, hatimaye dada yake, Katia Aveiro, ameeleza ukweli kwa nini nahodha huyo wa Ureno hakuhudhuria...