Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9802 results for Mwandishi :

  1. Dabi ya Prague yavunjika, mashabiki wavamia uwanja

    MECHI kubwa ya dabi ya Jiji la Prague, Jamhuri ya Czech kati ya Slavia Prague na Sparta Prague ilisimamishwa kutokana na vurugu kubwa zilizozuka uwanjani baada ya mamia ya mashabiki kuvamia dimba...

    DABI Pict
  2. Simba, Yanga zagawana tuzo za kocha, mchezaji bora Februari

    MSHAMBULIAJI wa Yanga Laurindo Dilson 'Depu' amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2025/26, huku kocha wa Simba, Steve Barker akichaguliwa kuwa Kocha...

  3. Hali mbaya kiuchumi yaiyumbisha Junguni United

    UONGOZI wa Junguni United inayoshiriki Ligi Kuu Zanziabar, umesema hauna uhakika wa kusafiri kwa ajili ya mechi mbili za mzunguko wa 25 na 26 kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo.

    JUNGUNI Pict
  4. Jesse Derry apunguza hofu Chelsea

    KINDA wa Chelsea, Jesse Derry, ametuma ujumbe wa kuwatuliza mashabiki baada ya kupata jeraha la kichwa lililompelekea kulazwa hospitalini wakati wa mchezo dhidi ya Nottingham Forest.

    JESSE Pict
  5. Fabregas avunja ukimya, aipa kipaumbele Como kuliko Chelsea

    ALIYEKUWA nyota wa Chelsea, Cesc Fabregas, amevunja ukimya kuhusu tetesi zinazomuhusisha na kibarua cha ukocha katika klabu hiyo huko Stamford Bridge, akisisitiza kuwa kwa sasa mawazo yake yapo...

  6. Mahakama Hispania yafunga uchunguzi kifo cha Diogo Jota na mdogo wake

    MAHAKAMA nchini Hispania, imeamua kuwa hakukuwa na kosa la jinai katika ajali ya gari iliyosababisha kifo cha mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Diogo Jota na mdogo wake, Andre Silva.

  7. He! Kumbe Azam iliwafanyia ubaya Singida BS Muungano Cup

    SINGIDA Black Stars imeshaanza maisha jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa mapema kwenye mashindano ya Kombe la Mashndano na wakati inalia na mwamuzi inayedai aliwaharibia, lakini wasi-isahau...

  8. Real yamkata Enzo

    REAL Madrid imekanusha taarifa zinazoihusisha na mpango wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, katika dirisha hili la usajili.

  9. Norway yamaliza safari ya Brazil Kombe la Dunia, Haaland akitupia mawili

    Brazil imeaga fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Norway katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa New York/New Jersey, Marekani.

    NORWAY Pict
  10. Aliyetajwa nyota ajaye Soton afariki kiutata

    ALIYEWAHI kutajwa kama mmoja wa vipaji vinavyochipukia katika mfumo wa vijana wa Southampton, Victor Udoh, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 21 katika mazingira yanayoelezwa kuwa ya...

Previous

Page 382 of 981

Next