Eric Garcia: Haikuwa rahisi, lakini kocha Miguel alinishawishi
Nyota wa Barcelona, Eric Garcia, amemwagia sifu kocha wa Girona, Miguel Sánchez, kwa kumsaidia kurejesha kujiamini kwake, baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo tangu msimu wa 2023–2024.