Anthony Gordon mambo safi Barcelona NYOTA wa England na Newcastle United, Anthony Gordon, amewasili jijini Barcelona kwa ndege binafsi kukamilisha dili lake la pauni 70 milioni kwenda kwa mabingwa hao wa Hispania.
Arne Slot aondoka Liverpool LIVERPOOL imemfuta kazi kocha Arne Slot, huku Andoni Iraola aliyeachana na Bournemouth mwishoni mwa msimu ulioisha akitajwa kuongoza miongoni mwa wanaotajwa kwenda kuchukua nafasi yake.
Shakira atambulisha mpenzi mpya! KAMA bado unalitafakari biti kali la Dai Dai aliloliachia mwimbaji maarufu kutoka Colombia, Shakira Isabel, taarifa ikufikie kwamba ametambulisha mpenzi mpya anayetofautiana naye umri kwa miaka...
Rashford uso kwa uso na rafikiye wa utotoni MARAFIKI wa tangu utotoni, Marcus Rashford na Axel Tuanzebe wanatarajiwa kukutana katika mechi ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha England na DR Congo katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia...
Arsenal yakomaa na Barcola ARSENAL ipo tayari kujaribu kuishawishi Paris Saint-Germain (PSG) kumuuza mshambuliaji wake Bradley Barcola.
Tielemans aing'oa Senegal, Ubelgiji ikienda 16 bora Ubelgiji imefanikiwa kutoka nyuma na kwenda kutengeneza ushindi mzuri ikiichapa Senegal kwa mabao 3-2, ikijikatia tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026.
Kiungo Senegal abwaga manyanga akiweka sharti moja Saa chache baada ya Senegal kutupwa nje kwenye Fainali za Kombe la Dunia baada ya kufungwa mabao 3-2 na Ubelgiji, kiungo Pape Gueye ametangaza kujiweka kando kuichezea timu hiyo.
Chelsea yamnasa beki Mtaliano CHELSEA imethibitisha kumsajili beki wa Italia mwenye umri wa miaka 21, Marco Palestra, kutoka Atalanta.
Real yamkata Enzo REAL Madrid imekanusha taarifa zinazoihusisha na mpango wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, katika dirisha hili la usajili.
Norway yamaliza safari ya Brazil Kombe la Dunia, Haaland akitupia mawili Brazil imeaga fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Norway katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa New York/New Jersey, Marekani.