Brazil yaifuata Canada 16 bora Kombe la Dunia TIMU ya Taifa ya Brazil imefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026, baada ya kuiondoa Japan ikiitandika kwa mabao 2-1 katika mechi mgumu ya hatua ya 32 bora iliyochezwa kwenye Uwanja wa NRG,...
Nagelsmann akalia kuti kavu Ujeruman, Klopp akipigiwa chapuo KOCHA wa Ujerumani, Julian Nagelsmann ameanza kukabiliwa na presha ya kibarua chake kuota nyasi baada ya timu yake kutolewa na Paraguay kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 32 bora ya Kombe la...
Arsenal yapoteza mtu nyuma ya Mikel Arteta KUNA mabadiliko mengine ya kiutendaji nyuma ya pazia katika timu ya Arsenal, huku msimu wa majira ya kiangazi wa kuondoka kwa baadhi ya wafanyakazi ukiendelea.
Messi afuata nyayo za Ronaldo, anunua klabu Hispania MSHAMBULIAJI wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi, ameanza rasmi safari ya uwekezaji katika soka kwa kununua asilimia 100 ya klabu ya daraja la tano nchini Hispania, UE Cornella, iliyopo umbali...
Chelsea kumweka sokoni Garnacho, sababu yatajwa CHELSEA wapo tayari kumuuza winga Alejandro Garnacho msimu huu wa majira ya joto, kwa mujibu wa talkSPORT, ambapo uongozi wa klabu umetambua kuwa usajili wake wa Pauni 40 milioni haujaenda kama...
Fabregas avunja ukimya, aipa kipaumbele Como kuliko Chelsea ALIYEKUWA nyota wa Chelsea, Cesc Fabregas, amevunja ukimya kuhusu tetesi zinazomuhusisha na kibarua cha ukocha katika klabu hiyo huko Stamford Bridge, akisisitiza kuwa kwa sasa mawazo yake yapo...
Mahakama Hispania yafunga uchunguzi kifo cha Diogo Jota na mdogo wake MAHAKAMA nchini Hispania, imeamua kuwa hakukuwa na kosa la jinai katika ajali ya gari iliyosababisha kifo cha mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Diogo Jota na mdogo wake, Andre Silva.
He! Kumbe Azam iliwafanyia ubaya Singida BS Muungano Cup SINGIDA Black Stars imeshaanza maisha jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa mapema kwenye mashindano ya Kombe la Mashndano na wakati inalia na mwamuzi inayedai aliwaharibia, lakini wasi-isahau...
Kipigo chaivuruga Liverpool LONDON, ENGLAND: JAHAZI la majogoo wa jiji Liverpool limejikuta likizama zaidi baada ya kupokea kichapo cha mabao 4-2 dhidi ya Aston Villa juzi, Ijumaa kilichoibua tena maswali mazito kuhusu...
Arbeloa amfagilia njia Mourinho KOCHA wa muda wa Real Madrid CF, Alvaro Arbeloa amezua mjadala mpya baada ya kusema wazi kuwa kwa mtazamo wake kama 'Madridista' kocha bora zaidi katika historia ya klabu hiyo ni José Mourinho.