Shearer: Arteta anajifukuzisha! GWIJI wa Ligi Kuu England, Alan Shearer anaamini kocha Mikel Arteta anatafuta mwenyewe njia ya kujiweka kwenye presha ya kufutwa kazi kwenye klabu ya Arsenal baada ya kushindwa kuifanya timu hiyo...
Peter Kenyon afichua tatizo lilipo Man United KURUGEZNI Mtendaji Mkuu wa zamani wa Mkuu wa Manchester United, Peter Kenyon ametania kwamba familia ya Glazer “Inapaswa kupigwa risasi” kwa kitendo cha kushuhudia timu hiyo ya Old Trafford...
Siri ya vita za mapema England ni hii MAMBO ni mengi sana Ulaya. Wakati ligi zikiwa zimemalizika mwisho wa wiki hii, harakati mbalimbali zimeanza, kuna vigogo kama Manchester United wameshaanza maandalizi ya msimu na wengine...
Martin Zubimendi dili lake hadi Julai DILI la kiungo Martin Zubimendi kutua Arsenal litasubiri hadi Januari licha ya kwamba staa huyo wa Kihispaniola na wakala wake alisafiri hadi London kwenda kumalizia baadhi ya mambo ili atue...
Pogba: Monaco? Bado sijasaini KIUNGO wa boli, Paul Pogba amesema tena kwa msisitizo “sijasaini chochote” wakati huu ikiripotiwa kuwa staa huyo wa zamni wa Manchester United atajiunga na Monaco.
Dili la Mbeumo bado halijaeleweka SWALI moja gumu, Bryan Mbeumo anakwenda wapi? Staa huyo wa Brentford amejikuta kwenye sintofahamu kubwa wakati huu akisakwa na vigogo wa Ligi Kuu England katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Straika mpya Arsenal bado kizunguzungu ARSENAL sasa imebaki na uamuzi kwenye mikono yake wenyewe juu ya mastraika inayowasaka kwenye dirisha hili, ambapo kwenye meza yao kuna majina ya wakali wawili, Viktor Gyokeres na Benjamin Sesko.
Hojlund kuuzwa, Zirkzee kubaki MANCHESTER United imeripotiwa kuchukua uamuzi wa kumpiga chini Rasmus Hojlund, lakini Joshua Zirkzee atabaki kwenye kikosi hicho cha miamba ya Old Trafford.
Manchester United kutumia akili kubwa kwenye usajili NDIYO. Manchester United haina presha kwenye masuala ya usajili kuhusu pesa na inatarajia kutumia pesa za mauzo ya mastaa wake kushusha vyuma vipya klabuni hapo.
Arsenal, Chelsea vuta nikuvute kwa Sesko KUMEANZA kuchangamka. Ndicho unachoweza kusema baada ya Chelsea na Arsenal kuhamishia vita ya London derby kwenye usajili wa straika, Benjamin Sesko kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.