Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8809 results for Mwandishi :

  1. Pamba Jiji yaingia na mambo mawili kwa Yanga

    KOCHA Msaidizi wa Pamba Jiji, Henry Mkanwa, ameyataja mambo mawili ambayo wataingia nayo kesho Alhamisi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga.

  2. Jeuri ya Aussems ipo hapa!

    KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems amesema kwa sasa anajivunia upana na ubora wa timu hiyo baada ya kuanza vyema Ligi Kuu Bara msimu huu, huku wachezaji wote...

  3. Simba waja na Tik-Tak kwa Mkapa

    Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Jumapili iliyopita nchini Nigeria Simba ilianza vizuri mashindano hayo kwa kupata uhsindi wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United.

  4. Haji? Diego huyu hapa

    MWANASPOTI lilifichua kwa mara ya kwanza usajili wa Mniger, Issofou Boubacar, Jumamosi iliyopita. Simu kibao zikamininika kwenye chumba chetu cha habari, vigogo wa juu wa Yanga wakitaka kujua...

  5. Manji: Yaani Simba imetupita! Sikubali

    YUSUFU Manji amekasirika! Amewaweka kitimoto wachezaji wa Yanga kwa muda wa saa moja jijini Dar es Salaam kutaka kujua

  6. Mrisho Ngassa asaini rasmi Yanga

    HUU si mchezo wa kuvurugana akili, wala si hujuma ila ni hakika. Yanga imethibitisha 'kumsajili' winga machachari wa Simba, Mrisho Ngassa kwa

  7. Zanzibar Heroes waenda Chalenji na basi

    Msafara wa Zanzibar Heroes wenye watu 34, wachezaji 24 na viongozi 10, wamendoka majira ya saa 3:00 asubuhi na boti ya Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam.

  8. KAMARI : Souness adai kumsajili Balotelli ni bahati nasibu

    KUMSAJILI Balotelli ni bahati nasibu. Ni kama kucheza kamari. Yule jamaa hatabiriki. Kazi anayo Brendan Rodgers. Hayo ni maneno ya kocha wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness akimuonya kocha wa...

  9. ENGLAND: Guardiola ataka kufundisha England baada ya Bayern

    MAISHA bado yapo kasi kwa kocha kijana, Pep Guardiola. Sasa ameziweka mkao wa kula klabu za Manchester City na Arsenal baada ya kutamka wazi kuwa ‘Nitakuja England’.

  10. Ninja ni Yanga tu

    Mwinyi Zahera asiukubali mziki wa Simba kwa sababu Kwann huyu kocha si mnafiki anasema ukweli ingawa wakati mwingine kauli zake hizo za kusema ukweli zinaweza kumweka matatani.

Previous

Page 336 of 881

Next