Safu ya ulinzi Liverpool yamchefua Alejandro Moreno Mchambuzi Alejandro Moreno, ametoa tathmini kali kuhusu mchezo wa Liverpool kufuatia kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Brentford, akimlenga Milos Kerkez kwa kukosa ushirikiano na beki mwenzake...
Kocha Chelsea ageuka ‘Mbogo’, akemea mabeki wake WAMEZINGUA. Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca amewakemea vikali wachezaji wake wa safu ya beki baada ya kushindwa kucheza vizuri dakika za mwisho na kusababisha kupoteza mechi dhidi ya Sunderland...
Ruben Amorim: Sikuwa na hofu ya kufukuzwa kazi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesisitiza hajawahi kuwa na hofu juu ya kufukuzwa kazi na tajiri na mmiliki wa timu hiyo, Sir Jim Ratcliffe na presha za kuondolewa kwake zilitoka kwa...
Samatta dakika 519 bado mambo magumu Ufaransa NYOTA wa kimataifa na nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Samatta jana Jumapili alitimiza jumla ya dakika 519 kupitia mechi nane za Ligi Kuu ya Ufaransa bila ya kufunga bao.
Gor Mahia yamuenzi Raila Odinga kwa ushindi mnono Gor Mahia imeichapa Posta Rangers mabao 3-0 kupitia Ben Stanley, Austin Odhiambo, na Felix Oluoch.
Kylian Mbappe aingia anga za kibabe SUPASTAA, Kylian Mbappe ameingiza jina lake kwenye orodha ya mastaa matata kabisa waliowahi kucheza kwa viwango vya kibabe kwenye mechi za El Clasico.
Azam, Singida BS mikononi mwa vigogo CAF BAADA ya Azam na Singida Black Stars kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, zina kibarua cha kukutana na vigogo.
Vinicius, Real Madrid kunafukuta MABOSI wa Real Madrid wamesisitiza kuwa hawatabadili ofa yao ya mkataba kwa fundi Vinicius Junior licha ya mvutano unaoendelea kati ya klabu hiyo ya Hispania na winga huyo wa kimataifa wa Brazil.
Liverpool yaonyesha uungwana kwa familia ya Jota KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amethibitisha kuwa timu yake imeilipa famila ya Diogo Jota kiasi chote cha mshahara na bonasi za mkataba, ambazo alitakiwa kukipata.
Kane awapiga bao Ronaldo, Haaland MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Harry Kane ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100+ ndani ya mechi chache zaidi akiwa na klabu ya Ligi tano bora barani Ulaya.