Stan Bakora azidi kung’ara kwenye burudani Tanzania Msanii wa Tanzania, Stan Bakora anaendelea kujenga na kukuza safari yake katika tasnia ya burudani akijikita katika uchekeshaji, uigizaji na utengenezaji wa maudhui kupitia mitandao ya kijamii.
Raphinha wa moto kinoma La Liga MSHAMBULIAJI Raphinha alifunga hat-trick yake ya pili mfululizo na kuiongoza Barcelona kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Sevilla kwenye Uwanja wa Ramon Sanchez-Pizjuan, matokeo yaliyoifanya...
'Hata China, Pirates na Sundowns wana mashabiki' KIPA wa zamani wa Orlando Pirates, Innocent Mayoyo, ameunga mkono uamuzi wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) kuandaa fainali ya Kombe la MTN8 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban, akisisitiza...
Simba yakwepa lawama mauzo tiketi za Dabi Wakati hadi sasa tiketi za mechi ya Ligi Kuu ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga zikiwa hazijaanza kuuzwa, wenyeji wa mechi hiyo ya Ligi Kuu, Simba wamejivua mzigo wa lawama.
Kane aitafuta rekodi ya Ronaldo NAHODHA wa England, Harry Kane, anakaribia kuvunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kufunga katika mechi nyingi mfululizo za Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuendeleza moto wake wa mabao akiwa na...
Kamwe awataka Wanayanga kuziba masikio kipigo cha Simba Ofisa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo, kuyaweka kando matokeo ya kipigo cha mabao 2-1 walichokipata kutoka kwa Simba na kuelekeza nguvu...
Enzo amsukuma mwamuzi aokoa kadi nyekundu MASHABIKI wa soka wamehoji kwa nini kiungo Enzo Fernandez, hakutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumgonga mwamuzi katika kipigo cha mabao 4-2 ilichopata Manchester City dhidi ya Paris...
PRIME Usajili wa Fei Toto… Zilongwa mbali, zitendwa mbali ZILONGWA mbali zitendwa mbali ni msemo wa Kizaramo wenye maana ya 'maneno mbali na vitendo mbali' yaani yanayosemwa ni tofauti kabisa na yanayofanyika. Hivi ndivyo ilivyo kwenye suala la...
Yanga, Simba zapewa mchongo kufuzu nusu fainali CAF dhidi yao." Mwandishi wa habari kutoka Afrika ya Kusini, Dube Mthoko amesema Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena Hloae anaiogopa Yanga kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya...