Nyota Cagliaria anusurika kifo MSHAMBULIAJI wa Cagliari, Yael Trepy (20), ametoka kwenye koma baada ya madaktari kuondoa mashine ya kumsaidia kupumua, siku mbili baada ya kuokolewa akiwa hajitambui kutoka kwenye bwawa la...
Baleba afuzu vipimo, kusaini Man United KIUNGO wa Brighton, Carlos Baleba amefaulu vipimo vya afya na kusaini mkataba wa miaka mitano na Manchester United, ukiwa na kipengele cha kuongeza muda hadi mwaka 2032.
Mtoto aingia uwanjani, mechi yasimamishwa MECHI kati ya San Jose Earthquakes na Minnesota United ilisimama kwa muda katika dakika za nyongeza baada ya mtoto mdogo kuingia uwanjani na kusababisha tukio la kushangaza.
Mpira wa ‘mkono wa Mungu’ wauzwa Sh9 bilioni MPIRA uliotumika katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia 1986 kati ya Argentina dhidi ya England na Diego Maradona kufunga bao maarufu la ‘Mkono wa Mungu’ umeuzwa kwa pauni2.5 milioni...
Ngorongoro Heroes yatawala kikosi Bora CECAFA U-20 TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, imetawala katika Kikosi Bora cha mashindano ya kufuzu AFCON U-20 kwa ukanda wa CECAFA.
Nyota amkosoa kocha “mbinu zako hazifanyi kazi” KIUNGO wa zamani wa Tottenham na Southampton, Pierre-Emile Hojbjerg, amemkosoa hadharani kocha wa Denmark, Brian Riemer, akisema mbinu yake ya kumchezesha pamoja na Morten Hjulmand kwenye kiungo...
Salah aachwa Misri kisa nyasi bandia TIMU ya taifa ya Misri imemwacha mshambuliaji Mohamed Salah kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON2027), kutokana na mechi...
Uganda yajitoa AFCON U-23 kisa ukata wa fedha Timu ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ‘Kobs’, imejitoa kwenye mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana weny umri chini ya miaka 23 (AFCON U23) 2027.
Ujumbe wa balua baada ya kurejea Uarabuni KIUNGO wa Tanzania, Edwin Balua, ameahidi kufanya kazi kwa bidii pamoja na wachezaji wenzake ili kuonyesha kiwango bora baada ya kurejea katika klabu ya Al-Entisar ya Saudi Arabia.
Tacko Fall arejea NBA NYOTA wa kikapu Tacko Fall amerejea katika Ligi ya Kikapu Marekani kwa ajili ya msimu ujao, huku akipewa nafasi nyingine.