Simba yamtambulisha SpiderMan KLABU ya Simba imemtambulisha kipa mpya, Moussa Camara 'Spider' kwa mkataba wa miaka miwili akitokea AC Horoya ya Guinea.
Tanzania Prisons, Mashujaa hakuna mbabe Maafande wa Tanzania Prisons wameambulia pointi nyingine ya ugenini, wakilazimisha suluhu dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa raundi ya pili wa Ligi Kuu Bara, uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika,...
Anguti Luis atua Coastal Union, kukiwasha Kagame Cup Beki Anguti Luis atakuwa sehemu ya kikosi cha Coastal Union msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Manchester United yadaiwa kumnasa Kalidou Koulibaly MANCHESTER United imedaiwa kukamilisha dili la kumsajili beki wa kati wa Napoli, Kalidou Koulibaly kwa mkwanja unaozidi Pauni 60 milioni.
Heh! Matonya ameanza kufulia kweli SIRI imefichuka kwamba Matonya ameuza nyumba yake ya jijini Tanga, lakini amewaambia marafiki zake wa karibu kwamba amefanya hivyo ili mambo yaende sawa kimaisha na siku si nyingi ataibukia...
Bomu la Shaa likilipuka mtapoteana HUTAMSIKIA Shaa kwa muda mfupi lakini akiibua bomu lake atakalolipua mtapoteana. Binti huyo mwenye mvuto Bongo yupo mafichoni akifanya mambo ya ukweli na akisoma nyendo za wapinzani wake akaibuka...
Mavugo akamua mbaya mazoezini Simba KAMA kuna watu wanambeza Laudit Mavugo, basi imekula kwao, kwani straika huyo Mrundi kwa tizi alilokuwa akilipiga kwenye mazoezini ya timu hiyo kujiandaa na mchezo wao wa Jumapili, linaonyesha...
Linah aapa kuanika picha akipata ujauzito mwingine MWANAMUZIKI ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja, amewapiga dongo waliokuwa wakimfuatafuata kipindi alipokuwa na ujauzito hasa kutokana na picha alizopiga kwa kipindi hicho.
Dogo Janja utamponza Young Dee akamatwe BAADA ya Young Dee kusema kuwa yeye sio wa kufananishwa na Dogo Janja na Young Killer na kutaka waandishi wote wasimfananishe na wasanii hao, Dogo Janja amekuja juu kwa kujibu kauli hiyo huku...
Ishu ya Zari, Diamond yatikisa hadi Wazambia UNAMJUA staa wa Zambia, Stoppila Sunzu? Basi bwana staa huyo amekuwa akifuatilia sakata la msanii wa Bongofleva, Diamond na Zari na hamu yake kubwa ni kujua kama wazazi hao wametemana au...