Shakhtar kupoteza mamilioni sakata la dawa haramu la Mudryk KLABU ya Shakhtar Donetsk inatarajiwa kupoteza kiasi cha Pauni 26 milioni kutokana na sakata la matumizi ya dawa haramu michezoni linalomkabili mchezaji wao wa zamani, Mykhailo Mudryk ambaye kwa...
Aston Villa yaishtaki FIFA kwa CAS ASTON Villa yaifikisha FIFA Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) baada ya kuzuiwa kumsajili chipukizi Brian Madjo.
CAF yatoa mkeka kwa Yanga, Simba SHIRIKISHO la Soka Afrika(CAF) imetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Yanga yatozwa faini ya Sh100 milioni kutumia 'Jumba la Maajabu' Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya chumba rasmi...
MO Salah amwaga machozi akibeba Misri MSHAMBULIAJI Mohamed Salah alishindwa kuzuia hisia zake za kutokwa na machozi baada ya kuiongoza Misri kupata ushindi wake wa kwanza kabisa katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia.
Man United yamtoa Onana kwa Waturuki KIPA wa Manchester United, Andre Onana amerejea kwa mkopo katika klabu ya Trabzonspor ya Uturuki kwa msimu wa 2026/27.
Baraka za Vatican zamfuata Messi Marekani Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, alipokea zawadi maalum iliyobarikiwa na Vatican baada ya tukio la kugusa hisia lililotokea kufuatia ushindi wa Argentina dhidi ya Cape Verde katika hatua ya...
Erling Haaland azua 'balaa' Peru MSHAMBULIAJI wa Norway, Erling Haaland, ameibuka kuwa gumzo nchini Peru baada ya mamia ya wazazi kuwapa watoto wao majina yanayotokana na nyota huyo wa Manchester City.
Show ya mapumziko yazua mjadala Kombe la Dunia FAINALI ya Kombe la Dunia ya FIFA inatarajiwa kuandika historia kwa kuwa na burudani ya kwanza kabisa ya mapumziko ‘half-time show’, lakini mpango huo umeibua mjadala mkubwa kutokana na uwezekano...
Ciro Messi aiga ustadi wa baba yake MTOTO wa staa wa Inter Miami, Lionel Messi mwenye umri wa miaka sita, Ciro, ameonekana kuiga mtindo wa baba yake kwa kufunga bao la kuvutia katika mchezo wa akademi ya timu hiyo ya baba'ke.