Wanufaika mnada mtandaoni wafurahia ushindi Maisha ya Watanzania yanazidi kuimarika siku hadi siku kutokana na kutumia vizuri mitandao ya kijamii kunakowawezesha kuvuna pesa na bidhaa mbalimbali. Hii inatokana na uwepo wa majukwaa...
Arsenal, Manchester City zatabiriwa ubingwa EPL 2025-2026 Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Alan Smith, ametaja klabu mbili ambazo anaamini zitashindana kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya EPL msimu huu 2025-2026.
Victor Ikpeba: Achraf Hakimi amestahili tuzo ya Afrika Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Victor Ikpeba, ametaja sababu iliyomfanya beki wa Morocco, Achraf Hakimi, kutangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Afrika 2025 (CAF Player of the Year...
Asamoah Gyan amtaja bingwa AFCON 2025 Kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), mwanasoka wa zamani wa timu ya Taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, ametaja nchi tatu ambazo anaamini huenda mojawapo ikatwaa ubingwa wa...
Polisi yathibitisha MC Pilipili amekufa kwa kipigo Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini...
Mayele atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu Fiston Mayele ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu za Wanaume katika Tuzo za CAF 2025, akihitimisha msimu wake bora zaidi uliomfanya mshambuliaji huyo wa DR Congo kuwa mmoja wa...
Mzize ang’ara tuzo za CAF 2025 Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Barca yazidi kujisogeza kwa Marc Guehi, Liverpool nayo ipo BARCELONA imejiingiza katika vita dhidi ya vigogo wengine Ulaya ili kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi ambaye imekuwa ikimfuatilia kwa karibu.
Njia ya Mayele kufika Kombe la Dunia 2026 DR Congo ya Fiston Mayele imebakiza mechi moja tu kukamatia tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika huko Amerika Kaskazini mwakani.
Mike Dean...Nani Ferguson? mtata Wenger MWAMUZI, Mike Dean amefichua kwamba Sir Alex Ferguson wala hakuwa kocha mtata kwa waamuzi waliochezesha mechi za timu yake licha ya wengi kuamini alikuwa moto kwa marefa.