Nyie msiidharau Yanga imepambana Wakati mashabiki wa Yanga wakiumizwa na matokeo ya sare nyumbani dhidi ya Al Hilal ya Sudan,takwimu zinaonyesha ni timu Moja pekee iliyoshinda kwake katika mechi katika mechi nne za jana. Al...
Mbrazili amaliza bifu la Mwenda, Kapombe BENCHI la ufundi Simba chini ya Kocha Oliveira Robertinho limekata mzizi wa fitina kwa kumaliza bifu linalodaiwa kuwapo baina ya mabeki wa kulia, Shomary Kapombe na Israel Mwenda baada ya...
Mashabiki wamkomalia Metacha MASHABIKI wa timu ya Yanga baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu shooting wameamua kumsubiri nje kipa wao Metacha Mnata kutokana na kitendo chake cha kuwaonyeshea ishara mbaya yambaya baada ya...
PRIME Sasa ni Gamondi na Mkude YANGA wameshamalizana asilimia kubwa kimazungumzo na kiungo, Jonas Mkude lakini wameliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa mwisho muda wowote wiki hii atatangazwa. Mkude...
Simba, Kaizer Chiefs kitaeleweka Jumamosi hii Baada ya sekeseke la mechi ya watani wa jadi (Simba na Yanga) iliyokuwa ipigwe Jumamosi iliyopita kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam kuwaacha wapenda soka vinywa wazi, utamu umehamia ligi...
Yanga, Aziz Ki uso kwa uso ACHANA na stori za mitandaoni. Mwanaspoti pekee ndilo litakalokupa habari za uhakika za usajili. Iko hivi; Aziz KI amebakiza asilimia 10 tu kumalizika na sasa mwenyewe amefunguka akifichua kwamba...
Pro wa Twiga Stars kaiva MWANAHAMISI Omary ‘Gaucho’ anayecheza soka la kulipwa nchini Morocco katika klabu ya Shabab Atlas, ameanza mazoezi na timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, kujiandaa na mashindano ya COSAFA...
Dante aibuka upya Yanga ALIYEKUWA beki wa Yanga, Andrew Vicent ‘Dante’ ameikalia kooni klabu hiyo baada ya kuweka wazi kwamba bado kuna sehemu ya pesa zake za usajili anaidai.
PRIME Azam, Mtibwa patachimbika Chamazi LIGI Kuu ya Vijana U-20 imefikia patamu wakati leo mechi za nusu fainali zitakapopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, huku macho na masikio ya mashabiki yakiwa kwenye...
Penalti ya Silva yazua gumzo, Lunin afichua siri Kwa kawaida katika soka wadau, makocha na wachezaji wana usemi kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Ndivyo unavyoweza kuelezea kilichotokea usiku wa jana Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad wakati...