Kocha Spurs ataja siri ya kichapo cha Arsenal Kocha wa Tottenham Hotspurs, Thomas Frank, amekiri kikosi hicho kilicheza chini ya kiwango, hali iliyosababisha kupoteza mechi ya Dabi ya London ya Kaskazini dhidi ya Arsenal iliyoibuka na...
JACKIE CHAN: Fundi aliyegoma kuacha pesa AKIWA na umri wa miaka 71, ambao watu wengi walitegemea kuona akipumzika baada ya kutumika kwa muda mrefu katika kiwanda cha uigizaji wa filamu na kutengeneza utajiri mkubwa, Jackie Chan...
Mke wa Jux, Omoni Oboli wang’ara Nigeria MWANADADA Priscilla Ojo, mke wa nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jux sambamba na Omoni Oboli wameng’ara katika hafla ya tukio maalumu la BOZ ‘Love & Boz Circle-Prive lililofanyika...
Shambulio, utekaji vyamuibua Davido SUPASTAA na mkongwe wa muziki aliyeshinda tuzo nyingi, Davido amekemea kuhusu utekaji wa wasichana 25 katika jimbo la Kebbi na shambulio lililotokea Kwara.
Amorim kasema... hakuna kupoa MANCHESTER United inashiriki mchuano mmoja tu wa Ligi Kuu England, lakini huko mazoezini ratiba yao ni kama inacheza michuano mingine mikubwa Ulaya.
Vinicius, Real Madrid mambo yamenoga TAARIFA za ndani zinaeleza wawakilishi wa Real Madrid na wale wa Vinicius Junior wamefikia makubaliano kamili ya kumuongeza mkataba mpya Mbrazil huyo kwa muda mrefu zaidi.
Fenerbahce, Lewandowski kuna mchongo unasikiliziwa FENERBAHCE ya Uturuki inataka kumsajili mshambuliaji mkongwe wa Barcelona na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski, mwenye umri wa miaka 37, ambaye ameripotiwa ataondoka katika viunga vya...
Pep Guardiola, Bruno Guimaraes wazinguana KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola aliingia katika majibizano na staa wa Newcastle, Bruno Guimaraes, maofisa wa mechi na mpigapicha baada ya timu yake kupoteza kwa mabao 2-1 katika mechi...
I'm sorry, Slot akubali lawama Liverpool KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema anapaswa kubeba lawama kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu yake tangu mwanzo wa msimu huu.
Jose Chameleone kuliamsha zilipendwa MWIMBAJI mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone amethibitishwa rasmi kwamba atakuwa miongoni mwa vinara wa tamasha linalosubiriwa kwa hamu la kukumbushia ngoma za zamani la ‘A Nite In The 90s’...