Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9764 results for Mwandishi :

  1. Jude Bellingham afunguka kuhusu jeraha

    STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham ametoa ujumbe wa maneno matatu kuhusu maendeleo ya jeraha lake la msuli wa nyuma ya paja (hamstring) alilopata katika mechi dhidi ya Rayo Vallecano.

    JUDE Pict
  2. Ticha, mwanafunzi kuonyeshana ubabe

    ARSENAL na Manchester City zitakutana katika fainali ya Kombe la Ligi mwezi ujao, pambano litakalomkutanisha mwanafunzi Mikel Arteta dhidi ya mwalimu wake Pep Guardiola.

    MECHI Pict
  3. Carrick atofautiana na Ten Hag, Amorim

    MICHAEL Carrick amefanya mabadiliko katika ratiba ya mazoezi ya kila wiki Manchester United.

    CARRICK Pict
  4. Arsenal kazi ipo, mechi tatu siku saba

    ARSENAL italazimika kucheza mechi tatu ndani ya siku saba kabla ya dabi muhimu ya Kaskazini mwa London, baada ya kufuzu fainali ya Kombe la Carabao.

    ARSENAL Pict
  5. Maxime: Mfumo sasa umekubali, yeyote aje tu!

    BAADA ya msoto wa muda mrefu bila ushindi, hatimaye juzi Mbeya City ilikata mzizi wa fitina kwa kuikanda TRA United kwa mabao 2-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime akitamba kuwa mfumo...

    MAXIME Pict
  6. Mastaa watano Celta Vigo kuinogesha mechi yao na Barca 

    Wachezaji watano wa zamani wa Barcelona, wanaweza kuanza dhidi ya klabu hiyo leo Jumapili, Novemba 9, 2025, wakati Celta Vigo itakapokabiliana na FC Barcelona kwenye uwanja wa Balaídos, ikiwa ni...

    BARCA Pict
  7. Guardiola afichua alichowaambia wachezaji wake kuhusu Arsenal

    Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, amefichua kuwa aliwaambia wachezaji wake wasahau matokeo ya 2-2 ya Arsenal dhidi ya Sunderland, kabla ya mechi yao dhidi ya Liverpool jana Jumapili...

    PEP Pict
  8. Solomon Kalou: Nigeria itatwaa AFCON 2025 kama Ivory Coast itatolewa

    Aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Salomon Kalou, amesema ni nchi yake pekee ndiyo inaweza kuizuia Nigeria kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).

    KALOU Pict
  9. Conte, Napoli wakati wowote mazingira yatabadilika

    KIBARUA cha kocha Antonio Conte huko Napoli kipo kwenye hali ya sintofahamu kutokana na kile kilichotokea wikiendi iliyopita.

    CONTE Pict
  10. Jesus afunguka mpango wake wa kurejea Palmeiras

    : GABRIEL Jesus amefichua dhamira yake ya kurudi kwenye timu yake ya zamani Palmeiras wakati atakapoamua kuachana na Arsenal.

Previous

Page 303 of 977

Next