MASTORI YA OSCAR: Ali Kiba na Messi, Diamondi na Ronaldo
UBISHI wa nani mchezaji bora kati ya Pele na Maradona, walibishana sana wazazi wetu na mwishowe waliuacha bila kupata jibu sahihi. Sio vibaya kuwajadili na sio vibaya kupishana mtazamo. Wapo...